Presha, figo, maini vinanyemela wanywaji. ni jambo jema kuanza kutunza savings za matibabu. kuomba michango na kuchota bajet ya familia si jambo jema

Presha, figo, maini vinanyemela wanywaji. ni jambo jema kuanza kutunza savings za matibabu. kuomba michango na kuchota bajet ya familia si jambo jema

The thing is, watu wanakunywa kupitiliza. Binafsi sioni sababu ya kunywa kvant kubwa au konyagi kubwa peke yako. Unataka kugundua nini kunywa chupa la smirnoff au wine ya wapwa wanne mwenyewe, is it greediness au nini?

Ni kweli na hakika hayo magonjwa hayatuachi salama, pipo zinakunywa acha kabisa, hakuna kiasi kabisa kwenye unywaji pombe wa mtanzania.
 
Tatizo huna nguvu za kiume.
Pombe n mbaya kwa afya yako...nenda pale pemben ya muhimbili utaona umuhimu wa hii .....otherwise una imani twende kwa mwamposa nakuchukulia namba June unaombewa
 
The thing is, watu wanakunywa kupitiliza. Binafsi sioni sababu ya kunywa kvant kubwa au konyagi kubwa peke yako. Unataka kugundua nini kunywa chupa la smirnoff au wine ya wapwa wanne mwenyewe, is it greediness au nini?

Ni kweli na hakika hayo magonjwa hayatuachi salama, pipo zinakunywa acha kabisa, hakuna kiasi kabisa kwenye unywaji pombe wa mtanzania.
Kabissaa mpwaa tubadiilike m wakati wa mwisho mwisho kuacha bado nife kuna vijana wengi wanapenda slope kununuliwa nikawanunulia mara tatu kvant kubwa sikuhio nikaona wanalia kama wanataka kuzaa nikaenda damp nikachukua chupa ya kvant kubwa nikajaza maji nikapeleka duka la karibu few mns nikasogea maeneo vijana wanalia nikawambia jamaa wa dukan awape wee ....nikaingia ndan nkamshtua mlinzi asiingie mtu wakanza kelele kwenye maukuta toka sikuhioo sijaoombwa pombe nilipoonekana wakadai huyuu mshenzi siku ataweka mkojo kwenye chupa za energy

N2..stress zinasumbua sana Sanaa

3.vijana wengi wanaumwa gonna letu pendwaa la kule chini ikitokea wamechoka dawa wanaona kulewa zaidi kunawasahaulishaaa

Huku kwetu wanachukua smart gin wanachanganya na kvant mlipuko wake transformer cha mtoto.....matusi kama yote
 
Hivi we hunywi inakuwaje kila siku mnalalamika kihusu wanaokunywa??

Walikuomba ushauri?

Unawalipia wewe hela za pombe?

Unawalipia wewe hela za hospitali?

We si unywe maji yako utulie? Uliombwa uwasemee? Wamekutuma?
 
Ila usikate tamaa na uwe na inan mkuu Mungu anaponya kwa wakti wake unawezakwenda wiki ukapona mwezi ukapona

Muhimu kabisa tenga marafiki wabovu walevi wazinzi hii n maamuzi magumu omba saa 7 mpaka nane hata dk kumi huu mda shetan anatupiga unapomwambia Mungu akuponye akusaidie unapona
 
Me naona ajali za barabaran ndo zinaua kuliko izo pombe ungetoa ushaur kwa serikali kuhusu ajali za barabaran kwanza
 
Hasa wanaotumia pombe kupitiliza

Pombe inachangia kodi nyingi lakini pia tusisahau inasababisha gharama kubwa za matibabu.
  • Figo kufeli
  • mawe kwenye figo
  • homa ya ini
  • Presha / BP
  • Kibofu uti
  • n.k.
Haimaanishi kwamba wasio kunywa hawawezi kupata hayo magonjwa bali wanaokunywa kuna uwezekano mkubwa, Hata uraiani watu wanaotii sheria wanaweza kuishia jela kwa kubambikiziwa lakini ukiwa muhalifu kuna uwezekano zaidi wa kwenda jela.
Wote tunakufa miaka ya 60/70 so relax kula beer
 
Back
Top Bottom