Na elimu yakoo mwandiko unaleaa aisee...utangulie tu tukuleleleeeeeeTatizo huna nguvu za kiume.
Ameshalijibu, amesema wewe mtoto sio riziki. Hiyo taarifa nimeipokea kwa masikitiko ssna.Hili dadako atalijibu ...
Hahahaaa comedy isijekuwa ndioo dadamwemyeweAmeshalijibu, amesema wewe mtoto sio riziki. Hiyo taarifa nimeipokea kwa masikitiko ssna.
Pombe n mbaya kwa afya yako...nenda pale pemben ya muhimbili utaona umuhimu wa hii .....otherwise una imani twende kwa mwamposa nakuchukulia namba June unaombewaTatizo huna nguvu za kiume.
Wewe umeshaombewa ?Pombe n mbaya kwa afya yako...nenda pale pemben ya muhimbili utaona umuhimu wa hii .....otherwise una imani twende kwa mwamposa nakuchukulia namba June unaombewa
Kabissaa mpwaa tubadiilike m wakati wa mwisho mwisho kuacha bado nife kuna vijana wengi wanapenda slope kununuliwa nikawanunulia mara tatu kvant kubwa sikuhio nikaona wanalia kama wanataka kuzaa nikaenda damp nikachukua chupa ya kvant kubwa nikajaza maji nikapeleka duka la karibu few mns nikasogea maeneo vijana wanalia nikawambia jamaa wa dukan awape wee ....nikaingia ndan nkamshtua mlinzi asiingie mtu wakanza kelele kwenye maukuta toka sikuhioo sijaoombwa pombe nilipoonekana wakadai huyuu mshenzi siku ataweka mkojo kwenye chupa za energyThe thing is, watu wanakunywa kupitiliza. Binafsi sioni sababu ya kunywa kvant kubwa au konyagi kubwa peke yako. Unataka kugundua nini kunywa chupa la smirnoff au wine ya wapwa wanne mwenyewe, is it greediness au nini?
Ni kweli na hakika hayo magonjwa hayatuachi salama, pipo zinakunywa acha kabisa, hakuna kiasi kabisa kwenye unywaji pombe wa mtanzania.
Haswaa ndio maana nakukaribisha mkuuWewe umeshaombewa ?
Asante.Haswaa ndio maana nakukaribisha mkuu
Ila usikate tamaa na uwe na inan mkuu Mungu anaponya kwa wakti wake unawezakwenda wiki ukapona mwezi ukaponaAsante.
Wote tunakufa miaka ya 60/70 so relax kula beerHasa wanaotumia pombe kupitiliza
Pombe inachangia kodi nyingi lakini pia tusisahau inasababisha gharama kubwa za matibabu.
Haimaanishi kwamba wasio kunywa hawawezi kupata hayo magonjwa bali wanaokunywa kuna uwezekano mkubwa, Hata uraiani watu wanaotii sheria wanaweza kuishia jela kwa kubambikiziwa lakini ukiwa muhalifu kuna uwezekano zaidi wa kwenda jela.
- Figo kufeli
- mawe kwenye figo
- homa ya ini
- Presha / BP
- Kibofu uti
- n.k.