Presha jamani nisaidieni mwenzenu

Presha jamani nisaidieni mwenzenu

Shabby kng

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
41
Reaction score
6
Habarini wana jamvi. Mimi mwaka jana nilifanya mtihani wa form six matokeo yangu yakawa hivi GS=S HIST=F GEO=F LANG= E. Lakini mwaka huu niliporudia history na geography matokeo yangu yalikuwa hivi HIST=E GEO=C sasa kuna baadhi wananiambia siwezi pata chuo kikuu sasa wana jf nishaurini ni kweli chuo naweza kupata au hamna maana nina pesha kwelikweli
 
Pesha?pressure wewe shule haikutaki bora ukalime,au nenda kajiunge mgambo kwa elimu yako
 
Inasemekana Thomas Edson alijaribu kutengeneza balbu ya umeme unayoiona leo mara 999 kabla ya kufanikiwa! Wewe mara mbili tu umekata tamaa, hebu rudia masomo yako kwa nguvu na nia moja, haya ninayokwambia ni kutokana na uzoefu wangu binafsi. Funga account yako ya facebook,twitter,whatsup,nk.....!!!!!!!
 
Usivunjike moyo ndugu...
You've already broken through, wala usipate presha.
Nakumbuka last year hapa UD kuna course za CoET mpk E' flat walikombwa sembuse CEE.

Hizo grades zinakupa cutoff point zaidi ya 3 kama sijakosea, vyuo vingi cut off points zinachezea humo humo.

Kwa kukushauri omba vyuo ambavyo ni fameless kama TEKU, mwl. Nyrr, Udom. Usimess up with UDSM, MU, ARDHI.
 
kuna dogo last year f6 alikuwa na dv3 point14 ndoto zake zilikuw md,pharm au nursing so baada ya kuona point zake haziqualify anachokipenda ikabidi arisit na amefanikiwa kupata dv2 point9 flat B(CBG)..so kanjia kamefunguka kweli maisha malengo ukifata mkumbo utaumbuka
 
Back
Top Bottom