Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Hivi inakuaje hii eye pressure dalili zkae ni zipi hasa,maana kuna mtu nishawah muona macho kama yamevimba kwa juu kidogo ya kope inamsababishia sometime macho kuwa kama ya mchina au si hiyoAfanyiwe upasuaji baraka kabla haijafika tertiary stage na kuwa kipofu.Sorry for your mama.
Kizungu zungu macho yanapoteza mwanga kama taa ya gari inayozima kwenye giza kali na kuweka wakati huo huo.Hivi inakuaje hii eye pressure dalili zkae ni zipi hasa,maana kuna mtu nishawah muona macho kama yamevimba kwa juu kidogo ya kope inamsababishia sometime macho kuwa kama ya mchina au si hiyo
[emoji24][emoji24]Afanyiwe upasuaji baraka kabla haijafika tertiary stage na kuwa kipofu.Sorry for your mama.
Shukrani Tajir,Mkuu pole sana,awai kufanyiwa matibabu, for ,more information waweza soma hichi kijitabu nimeambatanisha hapa
hapo kwenye upofu hapoooo,Wagonjwa wa Kisukari huwa linawatokea sana hili tatizo na wasipopata matibabu ya mapema Jicho huwa linapata ukungu na kupelekea upofu. Huwa wanafanyiwa upasuaji mdogo wa kukwangua utandu wa jicho kisha jicho linaona vizuri.
Umri mkubwa nao ni moja ya sababu. Ila kama ana umri mkubwa huwa anaweza kupewa dawa ya maji ya kudondoshea kwenye macho kwa miezi 3. Itamsaidia sana badala ya kufanyiwa operation.hapo kwenye upofu hapoooo,
uzuri yeye hana sukari labda ni ugonjwa wa kurithi na umri pia.