Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Madaktari na Wauguzi naomba mnipe elimu juu ya huu ugonjwa wa presha ya macho,
na je inatokana na nini hiyo presha na jinsi ya kujilinda nayo ni vipi?
Mama yangu kaambiwa jicho lake moja presha imezidi hivyo kunusuru afanyiwe upasuaji, sasa nawaza hakuna tiba nyingine zaidi ya upasuaji? tiba lishe je?