MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Ukiwa mzee wa mikeka hakika hakuna magumu yatakayokushangaza maana huku ndiko kuna supprise za kutosha mfano maajabu niliyowai kutana nayo..
Umeweka 2+ ndani ya dkk 5 limepigwa goli moja.. hapa unanyoosha miguu juu kwamba huu nishapiga. Mpk dkk 90 zinaisha mechi 1-0
Umeweka Under 2.5 first half mpk dakk ya 10, mechi ina goli mbili tayari.. presha yake si ya kitoto...
Umeweka team A kupata over 0.5, anakuja kupata goli dkk ya 90 unashangilia mara paap flashscore notification "correction" goli limekataliwa na VAR.
Yapi yaliyokufanya uone maisha chochote ni possible kupitia betting..