Ukibet namna hii hutapata presha.Ukiwa mzee wa mikeka hakika hakuna magumu yatakayokushangaza maana huku ndiko kuna supprise za kutosha mfano maajabu niliyowai kutana nayo..
Umeweka 2+ ndani ya dkk 5 limepigwa goli moja.. hapa unanyoosha miguu juu kwamba huu nishapiga. Mpk dkk 90 zinaisha mechi 1-0
Umeweka Under 2.5 first half mpk dakk ya 10, mechi ina goli mbili tayari.. presha yake si ya kitoto...
Umeweka team A kupata over 0.5, anakuja kupata goli dkk ya 90 unashangilia mara paap flashscore notification "correction" goli limekataliwa na VAR.
Yapi yaliyokufanya uone maisha chochote ni possible kupitia betting..
Za macho ama stake ndogo huwa zinakubali sana.. tia sasa kilo moja odd 1.2 huzioniUkibet namna hii hutapata presha.
Hii ilikuwa AFCON2019. Mkeka hukuchanika kuanzia robo fainali, mshindi wa 3 na fainali.
Ila hapo ilikuwa for fun, sikuweka hela.View attachment 1176054
HahahaUkibet namna hii hutapata presha.
Hii ilikuwa AFCON2019. Mkeka hukuchanika kuanzia robo fainali, mshindi wa 3 na fainali.
Ila hapo ilikuwa for fun, sikuweka hela.View attachment 1176054
😁😁Mara nying presha zao ziko normal!Mimi naamini wazee wakubeti nyinyi Hamna maumivu kwenye mioyo yenu
[emoji16][emoji16]Mara nying presha zao ziko normal!
Hawaumizwi na mambo kirahisi
Nipo hapa nakachezea na Dogo swalehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Ka mkeka kako ka afcon mzee
Kuna siku nilibet 4.9mil nikampa Chelsea ili nipate 9.86mil meridian.
Chelsea si akatoka draw dakika ya 94 na Watford
Niliumia maana hela yenyewe nilianza na 10000 hadi ikafika 4.9mil
Duh,uliweza vp kufikia hiyo 4.9M kwa 10K?vp discipline yako ilikuaje na options zako?Kuna siku nilibet 4.9mil nikampa Chelsea ili nipate 9.86mil meridian.
Chelsea si akatoka draw dakika ya 94 na Watford
Niliumia maana hela yenyewe nilianza na 10000 hadi ikafika 4.9mil
Mimi siku hizi hata roho ya utu ishaondoka...nimebaki kama mnyama tu,sina hisia wala nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabisa ni ngumu sana kuumizwa hao jamaa
Umeweka Leonel Messi to Score halafu hayuko hata kwenye Sub mamaye zake.Ukiwa mzee wa mikeka hakika hakuna magumu yatakayokushangaza maana huku ndiko kuna supprise za kutosha mfano maajabu niliyowai kutana nayo..
Umeweka 2+ ndani ya dkk 5 limepigwa goli moja.. hapa unanyoosha miguu juu kwamba huu nishapiga. Mpk dkk 90 zinaisha mechi 1-0
Umeweka Under 2.5 first half mpk dakk ya 10, mechi ina goli mbili tayari.. presha yake si ya kitoto...
Umeweka team A kupata over 0.5, anakuja kupata goli dkk ya 90 unashangilia mara paap flashscore notification "correction" goli limekataliwa na VAR.
Yapi yaliyokufanya uone maisha chochote ni possible kupitia betting..
Mimi siku hizi hata roho ya utu ishaondoka...nimebaki kama mnyama tu,sina hisia wala nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kamari mbaya sana
Kama vp ondoa ktk settingHakuna kitu sipendi kama hiyo 'correction' ya flashscore,pumbavu sana hiyo.
Huwa nakutana nayo sana maana napenda kubet magoli..
Mimi naamini wazee wakubeti nyinyi Hamna maumivu kwenye mioyo yenu