Mimi siku hizi hata roho ya utu ishaondoka...nimebaki kama mnyama tu,sina hisia wala nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kamari mbaya sana
unakuta unatukana timu bila kutarajia..na game kama hyo jitu linaongoza had dk81 na mpinzani ana red kadi..ujue hapo ilikua fixed..na yenyewe yanacheza kamariAu timu unayoiaminia inakuwa inaongoza na timu pinzani inapigwa kadi nyekundu 2 harafu mwisho wa siku hiyo hiyo timu inashindwa kupata matokeo mazuri na kukuchania hela nyingi.
View attachment 1176276View attachment 1176277
Siondoi mkuu,acha tu kaendelee kunitesa.Kama vp ondoa ktk setting
Mimi siku hizi hata roho ya utu ishaondoka...nimebaki kama mnyama tu,sina hisia wala nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kamari mbaya sana
INAHUZUNISHA SANAhalafu utakuta inayaharibu ni mechi ya mwisho hapo umeweka mkeka wa wiki nzima
App gani ya betting hii hadi mchezaji wa kufunga??Umeweka Leonel Messi to Score halafu hayuko hata kwenye Sub mamaye zake.
PremierBet Mkuu,App gani ya betting hii hadi mchezaji wa kufunga??
Ndo maana! Ila ungeweka pesa, mambo yangekuwa tofauti na hivi. Hawa wabetishaji sijui wamerogezea hii michezo!Hii ilikuwa AFCON2019. Mkeka hukuchanika kuanzia robo fainali, nusu fainali, mshindi wa 3 na fainali.
Ila hapo ilikuwa for fun, sikuweka hela.
Umeweka Leonel Messi to Score halafu hayuko hata kwenye Sub mamaye zake.
Ah, wapi.Utarudishiwa stake yako.
Hii mibolivia hata mimi ilinirarulia mkeka wangu tena huyu huyu...pumba kabisaAu timu unayoiaminia inakuwa inaongoza na timu pinzani inapigwa kadi nyekundu 2 harafu mwisho wa siku hiyo hiyo timu inashindwa kupata matokeo mazuri na kukuchania hela nyingi.
View attachment 1176276View attachment 1176277