Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BBC imetangaza yuko ICU hivyo hajafa!
T B JOshuas' Prophesy fullfilled!
alitabiri mtawala wa afrika atafariki lowassa sio mtawala wala hastahili kuwa mtawala
Thats hate! because of differences in beliefs.that is funny
wewe unamheshimu TB JOSHUA...
na humheshimu Lowassa
while wenzako wanadai Joshua katabiri Lowassa atakuwa Rais wa TZ
Unacheza na wanasiasa wa Afrika wewe. Marehemu Mwanawasa ilichukua muda wa kutosha kutangaza kifo chake. Kwa politics za Malawi zilivyo, wanaweza kuwa wanavuta subira ili kuweka mazingira vizuri kabla hawajatangaza.
Kwa katiba ya Malawi, Rais akifariki hawaitishi Uchaguzi mkuu mpaka mwaka wa uchaguzi ufike ambayo ni 2014. Tayari huyo Makamu wa Rais alikuwa amejitenga na chama tawala na kuanzisha chama chake. Baada ya kuanzisha chama chake, Mutharika akataka kumuondoa Umakamu, Mama akagoma maana Katiba inamlinda maana alipata umakamu kama mgombea mwenza na Katiba haisemi kitu iwapo Makamu akihama Chama kama anaweza kuvuliwa nafasi ya Umakamu.
Baraza la Mawaziri lililokuwa chini Mutharika lilikuwa linamuona huyo mama kama mpinzani, na sijui itakuwaje, maana mama ana chama chake, je ataendelea kufanya kazi hao mawaziri wa Bingu? Je, atateua mawaziri wapya kutoka vyama vya upinzani? Ni Mkorogo kwa kwenda mbele!
that is funny
wewe unamheshimu TB JOSHUA...
na humheshimu Lowassa
while wenzako wanadai Joshua katabiri Lowassa atakuwa Rais wa TZ
Thats hate! because of differences in beliefs.
Hao wenzako ndio akina nani?
and r u sure huyo Tb Joshua alisema LOWASA atakuwa raisi????.No research no right to speak.
we ni bwega tu unaweka link hata bila ya kuisoma??? em isome kwanza
Katika kusisitiza hoja yake, Beatrice anasema, "Nimezungumza na TB Joshua wa Emmanuel TV Nigeria aliyenipa unabii kuwa rais ajaye Tanzania ni Edward Lowassa, nikamuambia haiwezekani kwani amechafuka sana."
Nakuheshimu mno king of MMU ...ila judgement zako zisizo na hoja ndizo zitafanya nisikuheshimu.U r more than that the Boss.
Nimekopy hiyo statement hapo juu kutoka hiyo link umetoa.
Kwanza hebu jiulize...kwa nini kichwa cha habari kimeanza na kiulizo(hii inaonyesha sio habari ya uhakika).
Pili unauhakika gani kama huyo mama hajapika hayo maneno?Umewahi kumsikia Tb Joshua akitamka?
Na tatu kwa nini unapenda kuhukumu?wewe ni Mungu? au malaika? Wewe ndio msafi sana au mtakatifu wa kuanza kusema Lowasa ana dhambi isiyopasa kusameheka?
U never know in this life.Kama wewe huna imani na utabiri/prophesy basi usipike mambo yasiyo na uhakika kujaribu kuweka ubaya wa kitu bila sababu.Wala huna sababu ya kumchukia mwenzio anayeabudu ngo'ombe kama wewe unaabudu jiwe.
Muhimu.....mie sio muumini wa huyo TB joshua wala huyo Lowasa lakn najaribu kuangalia ukweli.