Kabaridi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 2,022
- 534
Hapo mwanzoni kuna wabunge walitaka muyamalize hapo hapo kenya,bila kwenda icc lakini mliona na kusimama na kusema tuacheni twende kwa ocampo,leo hii mnalia na kusaga meno eti mnaonewa..leo hii ndio mnajua dhamani ya mahakama zetu baada ya sc kumfavour uhuru..kuhusu niss na vyombo vingine vya kitaifa,kwa nini wakuu wote wamejazana kabila moja tu..? ina maana kenya makabila mengine hayafai? Kwa nini kusiwe na balancing kulingana na makabila yote yaliyomo nchini kwenu? Uhuru kwenye kampeni zake alikuwa akiwatukana usa na uk,leo hii trip yake ya kwanza abroad kaenda uk,anakula matapishi yake,kama kweli mnajiamini na mmekamilika angegoma kwenda ili aonyeshe kwamba ana maanisha alichokuwa akiyaubiri kwenye kampeni? Nyie walala hoi mnadanganywa huku yeye akienda kinyume na matamshi yake.kweli nimeamini wajinga ndio waliwao..tambua kwamba hata hao wana cord ni wakenya wenzenu,chuki zenu na ukabila wenu haitawabadilisha kuwa waTanzania au waganda..nchi ni yenu wote nyie mzaniao kwamba you are choosen from God mnajidanganya..mwalimu nyerere aliwai sema.MUOGOPE MTU YOYOTE ANAEONGOZA NCHI KWA KUPENDELEA KABILA LAKE...PIA MUOGOPE KAMA UKOMA MTU ANAYENUNUA UONGOZI..muulize huyu master wako uhuru alitumia kiasi gani kuingia ikulu..ikulu kuna nini ni biashara gani anaenda kufanya ikulu? Kamwe siwezi kubaliana na utawala wa kibaguzi hata angekuwa babangu.nchi yenu imegawanyika umoja wa kitaifa uko wapi? Mnabaguana kikabila poor kenyans alafu mnataka tuwaeshimu..kaeni huko huko msije mkatuletea ukabila wenu huku.watu mnauwana kama gunguruwe leo bila aibu na kutetea wauwaji eti kwa kuwa ni kabila lako.hamna lotote nyie.
wakati huu mataifa ya kigeni ndio yanahitaji matiafa ya bara afrika kwa sababu ya rasilimali na sio vingine....hii ishu yya ukabila hutmiwa kama silaha lakini maadam wanasiasa wangemakinika na kuerevuka kama wakenya, wangepaswa kuelewa msimu umebadilika. huu sio ule msimu wa fujo na kueneza sera za ujinga kwenye kampeini na msimu huo umekwisha. !!!!!!KIMSINGI KUINGIA MADARAKANI KWA MISINGI YA UJINGA MSIMU WAKE UMEKWISHA!!!!!!. lazima kenya kama kiongozi wa kiuchumi maendeleo afrika mashariki na ya kati ionekane ikipiga hatua kutokana na ujinga wa wanasiasa. madaraka itapatikana kwa sera endelvu..Rais nyerere aliiona ujinga huu wa wanasiasa mwanzo, na akaifanya hio pamoja na umaskini na maradhi kuwa adui ya TZ na kutangaza vita dhidi yake kweli aliona picha ya kenya. vile vile kenya imefikia huo wakati..
..kilichowasaidia jubilee ni kwamba mbali na kutusiwa walisalia kuuza sera zao na ndio zilikuwa msingi wa wakenya kuchagua viongozi. bado unajidanganya ni kdf nsis na vikosi vya usalama ndio huamua uchaguzi pole sana, utaendelea kubaki kwenye tundu la giza. kenya ni nchi iliondelea mfumo wake ni wa kisasa sheria zake ni za kimataifa..nk. hii sio nchi ya king mswati inayoendeshwa kwa sera za vijijini.
....historia huandikwa mara moja tu. watu wanatakiwa kukaa chini na kufikiria na kujihoji wenyewe matokeo ya kazi za vitendo vyao. kufurahia tu kuingiza katiba huku watu wakipoteza maisha yao pia ni mithili ya ujinga. maana ikiwa jambo ni zuri halifai liambatane na vifo vya wananchi wasio na hatia.
...hitimisho ya kufunga huu mjadala..
...wakenya walitaka uongozi na sio kero za fujo na kuboreshwa kwa hali yao ya kiuchumi. huyo kigogo unayemsifu raila amekuwa mbunge wa langata miaka hii yote na bado kuna mamilioni ambao wamekaa katika vitongoji???? hii si kusema hakuna umaskini sehemu zingine kenya. bali matunda ya kazi ya huyu bana ni maafa na umwagaji damu Aisee!!!:laugh::laugh:
leta mengine........