Jammu Africa
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 530
- 59
Tukiweka maanani kwamba Botswana ilikataa kuhungana wa nchi nyingine za Africa kuishambulia ICC, nina uhakika Rais wa Botswana anataka kumpa ushauri Uhuru asishindane na an Internationa Community - akubali kwenda the Hague kujibu mashtaka yanayo mkabiri atamwambia mbinu za kukwepa kwepa kwenda huko hakutamsaidia zaidi ya kuingiza Taifa lake katika matatizo makubwa ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi. Anaweza kumpa ushauri vile vile kuhusu EAC kwamba si rahisi kupuuzia nchi kama Tanzania wakafanikiwa katika harakati zao.'President Uhuru Kenyatta is set to visit Botswana on Wednesday following an invitation from President Seretse Khama Ian Khama.President Kenyatta will fly to Gaborone for the one day official visit after his two day trip to South Africa and is to hold talks with President Khama on bilateral, regional and international issues of mutual interest.'President Kenyatta to hold talks with Botswana leader - Politics - nation.co.ke
binafs
'President
Uhuru Kenyatta is set to visit Botswana on Wednesday following an
invitation from President
Seretse Khama Ian Khama.
President Kenyatta will fly to Gaborone for the one day official visit
after his two day trip to South Africa
and is to hold talks with President Khama on bilateral, regional and
international issues of mutual interest.'
Botswana recently threw its weight behind President Kenyatta saying
there was a legitimate reason to
suspend his trial at the International Criminal Court.
President
Kenyatta to hold talks with Botswana leader - Politics -
nation.co.ke
Tukiweka maanani kwamba Botswana ilikataa kuhungana wa nchi nyingine za Africa kuishambulia ICC, nina uhakika Rais wa Botswana anataka kumpa ushauri Uhuru asishindane na an Internationa Community - akubali kwenda the Hague kujibu mashtaka yanayo mkabiri atamwambia mbinu za kukwepa kwepa kwenda huko hakutamsaidia zaidi ya kuingiza Taifa lake katika matatizo makubwa ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi. Anaweza kumpa ushauri vile vile kuhusu EAC kwamba si rahisi kupuuzia nchi kama Tanzania wakafanikiwa katika harakati zao.
binafs
huwa simuamini hata kidogo rais uhuru linapokuja suala uchumi, sisi tulihangaika
kuzikomboa nchi za kusini mwa africa leo yeye atapeleka pua yake afanye biashara very selfshiness kikuyu
binafs
huwa simuamini hata kidogo rais uhuru linapokuja suala uchumi, sisi tulihangaika
kuzikomboa nchi za kusini mwa africa leo yeye atapeleka pua yake afanye biashara very selfshiness kikuyu
yeye atapeleka pua yake afanye biashara very selfshiness kikuyu
'President Uhuru Kenyatta is set to visit Botswana on Wednesday following an invitation from President
Seretse Khama Ian Khama.
President Kenyatta will fly to Gaborone for the one day official visit after his two day trip to South Africa
and is to hold talks with President Khama on bilateral, regional and international issues of mutual interest.'
Heshima yako mkuu, kwanza nataka nikusahihishe kidogo sio kweli kwamba wafanyakazi wengi wa nje wanao fanya kazi Botswana wanatoka Kenya, nakuomba ufatilie Botswana au Wa Botswana waliwahi kutoa comments gani kuhusu tabia za raia wa Kenya wanao fanya kazi Botswana - hivi ujui kwamba kuna walio ambiwa warudi makwao (Kenya) kwa nini? Kitu kingine, mtu kukupa ushauri hauna maana kwamba ni lazima ufuate, una hiari ya kuhukubali au ku-ignore i.e mwenye huamuzi wa mwisho ni msikilizaji/anaye pewa ushauri, na hii aina maana kwamba ukipewa ushauri basi utakuwa umedharauliwa, la hasha. Mkuu tusije tukajidanganya hapa kwamba Rais wa Botswana hawezi kunzungumzia chochote kuhusu ICC na kumshauri Uhuru nini cha kufanya, kinacho nishangaza mimi sijui kwa nini mnachukulia suala la Rift Valley lightly badala yake mnakomalia suala la Westgate as if walio kufa 2008/9 sio binadamu na wakiwa Wakenya wenzenu 4 that matter - why DOUBLE standard!!!Sidhani kama rais wa Botwana anaweza kumpa Uhuru ushauri wa aina,,yeyote.Kile kimefanyika ni kwamba,,,,Botswana ilijikuta,,,wakiwa wapweke,,,baadaya kuropokwa.1. Wamekuja kugundua,,kwamba,,Uhuru ni jambali na Kenya si Sierra leon ama,,Madagascar.2. Kisha,,,viongozi wote wa kiafrika wako nyuma ya Uhuru.Lakini cha kushangaza ni kwamba,,,nusu ya civil serviceyake katika serikali,,,,ni waafrika kutoka nchi zingineza kiafrika wengi wakiwa kutoka Kenya.Sasa,,,ninani wakushauri mwingine???????????:smiling:
Heshima yako mkuu, kwanza nataka nikusahihishe kidogo sio kweli kwamba wafanyakazi wengi wa nje wanao fanya kazi Botswana wanatoka Kenya, nakuomba ufatilie Botswana au Wa Botswana waliwahi kutoa comments gani kuhusu tabia za raia wa Kenya wanao fanya kazi Botswana - hivi ujui kwamba kuna walio ambiwa warudi makwao (Kenya) kwa nini?
sijaelewa unamaanisha nini. kama ulisaidia kupigania ukombozi ndio iwe sababu ya yeye kutofanya biashara leo. wewe ndio selfishbinafs
huwa simuamini hata kidogo rais uhuru linapokuja suala uchumi, sisi tulihangaika
kuzikomboa nchi za kusini mwa africa leo yeye atapeleka pua yake afanye biashara very selfshiness kikuyu
Heshima yako mkuu, kwanza nataka nikusahihishe kidogo sio kweli kwamba wafanyakazi wengi wa nje wanao fanya kazi Botswana wanatoka Kenya, nakuomba ufatilie Botswana au Wa Botswana waliwahi kutoa comments gani kuhusu tabia za raia wa Kenya wanao fanya kazi Botswana - hivi ujui kwamba kuna walio ambiwa warudi makwao (Kenya) kwa nini? Kitu kingine, mtu kukupa ushauri hauna maana kwamba ni lazima ufuate, una hiari ya kuhukubali au ku-ignore i.e mwenye huamuzi wa mwisho ni msikilizaji/anaye pewa ushauri, na hii aina maana kwamba ukipewa ushauri basi utakuwa umedharauliwa, la hasha. Mkuu tusije tukajidanganya hapa kwamba Rais wa Botswana hawezi kunzungumzia chochote kuhusu ICC na kumshauri Uhuru nini cha kufanya, kinacho nishangaza mimi sijui kwa nini mnachukulia suala la Rift Valley lightly badala yake mnakomalia suala la Westgate as if walio kufa 2008/9 sio binadamu na wakiwa Wakenya wenzenu 4 that matter - why DOUBLE standard!!!
Well said - umeleweka vizuri Mkuu Kabaridi.itawezekanaje rais wa botswana kutaka kumpa uhuru ushauri wakati kutoka mwanzo alijitayarisha kuweka kenya vikwazo. inaonyesha wazi mataifa ya kiafrika yanakosa msimamo yao binafsi. niki sema msimamo nina maana ule unaozingatia interests za wananchi wao, sio za wakoloni mambo leo. tuzungumze tukijua viongozi na wanasiasa waafrika ndio wanatengeneza mazingira haya ya kutofautiana wenyewe. kwa mfano waathariwa/IDP wangapi wako ICC hivi sasa kutoa ushaidi?? wanaotafutiwa haki ICC hivi sasa ni waliokuwa vibaraka wa PNU na ODM. Kulingana na ICC bado hatujui ni nani alikuwa na the greatest responsibility of the PEV. sijui kama hiyo mahakama itapata ukweli katika decade hii ile ingine. kumekuwa na mapendekezo kuwa na tribunal arusha which is directly answerable under the ICC rome statutes itoe hukumu ambao ni hatari. hafadhali AU iwe na makao ya tribunal isioongozwa na taifa lelote.hivi leo vikundi kama mau mau na vingine vinakosa uwezo wa kupata haki kwenye mahakama yeyote ya kimataifa. Kesi hii ni ya kuwashtaki waafrika. ninashangazwa hata jeshi la kenya imekuwa ikitoa ushauri rais wa kenya na naibu wake kuenda ICC. politicization na siasa za kikabila zimeharibu kesi za ICC. nilisema tukilielewa katiba ya kenya, kuwa taifa lina haki ya kujilinda nje na ndani ya mipaka, suala la westgate ni muhimu pia ikizingatiwa.kenyans have become more awakaned kutoka tukio hilo la ghasia za baada ya uchaguzi, na waliotumia icc mwanzo kushindania vita vya kikabila imekulia kwao. kwa sababu we know ethnicity has been a crucial component in kenyan landscape to safeguard authority and exclusivity. wanasiasa wantumia ukabila kama silaha ya kungangania madaraka na nyadhifa zinginezo.... ndio kufanya hizi tofauti zidumu miaka nenda miaka rudi. cha kusikitisha ni, majadliano ya ICC na hali ya usalama kenya is ideologically driven (yaani yanazungumziwa in a superficial manner)tunatafuta wakati ambapo uongozi wa kenya utasimamia interests za wananchi wote na sio imposters wanaotafuta kuzidizha ukabila na temporary narrow interests za jamii yao binafsi.
Mkuu nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mulwaa, sina shaka mwenzetu ataupitia na kuhutafakari kwa kina, once again thanks a lot.Mugo"The Great";7738133 said:Mwaka 2009 wakenya wengi sana mikataba yao ilikatishwa, mimi ninajua zaidi ya wakenya 12 ambao mikataba yao ilikatishwa kwa sababu ya rushwa, wengine walipewa 48hrs kuondoka Botswana. Nakumbuka mwaka huo Rais Kibaki aliingilia kati kutaka kujua kulikoni. Serikal ya Seretse ikamwambia wazi wamekuwa wala-rushwa na wanaweza kuwa-poison Batswana. Hii kitu iko wazi. halafu nikuambie kitu kimoja Botswana ilipeleka na bado wamepeleka shule watu wao kwa wingi sana na ni mwaka jana tu walikatiza mikataba ya foreigners kibao including Kenyans hapo Princes Marina Hospital" Kwa ujumla Wazimbabwe ndiyo wengi kuliko watu kutoka mataifa mengine.
Jammu Africa,
..Pik Botha na Frederick De Klerk pia walifika Kenya kushukuru kwa kusaidia Apartheid South Africa.
..Mzee Toroitich Arap Moi South Africa during Apartheid era, wakati nchi za Kiafrika zime boycott kushirikiana na wabaguzi hao.
Mzee Toroitich Arap Moi South Africa during Apartheid era, wakati nchi za Kiafrika zime boycott kushirikiana na wabaguzi hao.
'President Uhuru Kenyatta is set to visit Botswana on Wednesday following an invitation from President
Seretse Khama Ian Khama.
President Kenyatta will fly to Gaborone for the one day official visit after his two day trip to South Africa
and is to hold talks with President Khama on bilateral, regional and international issues of mutual interest.'
President Kenyatta to hold talks with Botswana leader - Politics - nation.co.ke