President Kenyatta to hold talks with Botswana leader

President Kenyatta to hold talks with Botswana leader

Jamaa ana sura ya urabu sana ehee!!

COMBPX.jpg




'President Uhuru Kenyatta is set to visit Botswana on Wednesday following an invitation from President
Seretse Khama Ian Khama.

President Kenyatta will fly to Gaborone for the one day official visit after his two day trip to South Africa
and is to hold talks with President Khama on bilateral, regional and international issues of mutual interest.'

http://www.nation.co.ke/news/politi...a-Visit/-/1064/2059064/-/27vq1cz/-/index.html
 
Eti mitanzania mijitu ya hovyo.
Then hujui tupoje tupoje, illegal immigrant spotted here.

Alafu ndugu ww ni mtu wa jamii ipi unaeona ni upuuzi kusaidia jirani.

A shame u are
 
De Clark alizuru Kenya kuwatembelea wazungu ambao roots zao,,nikutoka S Africa.Hawa wazungu waliwahi kuishi mahali panapo julikana kama Eldoret, na niwao kwaukubwa walio anzisha huu mji. Hakuna ukweli wowote kuhusu Kenya kutembelewa na De Clark,,,nimechukuliahayo kama,,just a joke,,,kwani inchi ambazo zilikua za support apartheid,,,zilijulikana,,wazi wazi.Hakuna mwa Afrika wa kawaida angeliweza kuunga mkono apartheid naasitengwe na inchi zingine za kiafrika.:smiling::smiling:Kwahivyo,,ukweli ni,,,ndio De Clark aliwahi kutembelea Kenya,,miakaya 90's, akaenda hadi Eldoret kutembelea jamaa wake,,,hukoEldoret,,,,familia wa De Clark walio hamia Kenya miaka ya haponyuma.Nitajaribu kutafuta hii,,,,link,,,,kwani,,,,ukweli una gharama.waweza kudhibitisha haya,,,kwani nimeyasikia leo.:confused2:................................................................................................................................Tena,,tuangalie mambo yalivyo,,sasa,,,kama Kenya iliwahi ku support apartheid,,,,Zaidi ya Mandela kuzuru Kenya na kuhutubia wakenya kutoka Uhuru Park,,,kwa hivisasa,,,rais wa South Africa ni mmoja wa marais ambao wako nyuma ya Uhuru katikahii miereka ya ICC,,,kwanini ajihusishe na Kenya ambayo ilienda kinyume na wao???Walio support apartheid,,,wanajulikana,,haikua siri.Sasa rais wa Kenya ako South Africa kwa mikutano,,mmjawapo ukiwa wa ,,,SADC,,,,kisha,,huyo,,,,Botswana kwa ziara ya siku moja.Wengi walitarajia Kenya kutengwa,,na wenzao wa kia,,,hawa makaburu wa westerncountries walikua wamejaribu,,,,,kuchochea,,,,Botswana waingia kwa mtengo na kuanzakuropkwa wakati tuu,,Uhuru aliposhinda.Sasa amemuita Uhuru huko kwao,,,kumuambia,,,pole bwana,,,,,kwani,,, ULIMI KATELEZA,,nielewe bwana,,,,,,,,,,,
Unajitahidi sana kujieleza mkuu Jammu Africa, kumbe ndio maana mji wa Eldoret umejengeka vizuri sana - wazungu kitu kingine Mkuu. Mkuu mbona De Clark aliwahi kusema alipo kuwa mtoto mdogo alisoma mji wa Mbeya Tanzania, which means wazazi wake walikuwa wanaishi Tanganyika ya kikoloni kama wakulima kama sikosei. Kitu kingine mkuu, sikumbuki kama niliwahi kusikia kulikuwepo na njama za kuitenga Kenya! Waafrica wenye akili timamu wanawezaje kutenga Wafrica wenzao, hii aingii akilini hata kidogo - labda nikili kwamba siku za hivi karibuni Kenya, Uganda na Rwanda ndio wameanza kuonyesha mfano mbaya wa kutaka kuitenga TANZANIA! What unAfrican Culture? Beware of Friday the 13th, beware triple Ks aka UTATU MTAKATIFU.
 
Unajitahidi sana kujieleza mkuu Jammu Africa, kumbe ndio maana mji wa Eldoret umejengeka vizuri sana - wazungu kitu kingine Mkuu. Mkuu mbona De Clark aliwahi kusema alipo kuwa mtoto mdogo alisoma mji wa Mbeya Tanzania, which means wazazi wake walikuwa wanaishi Tanganyika ya kikoloni kama wakulima kama sikosei. Kitu kingine mkuu, sikumbuki kama niliwahi kusikia kulikuwepo na njama za kuitenga Kenya! Waafrica wenye akili timamu wanawezaje kutenga Wafrica wenzao, hii aingii akilini hata kidogo - labda nikili kwamba siku za hivi karibuni Kenya, Uganda na Rwanda ndio wameanza kuonyesha mfano mbaya wa kutaka kuitenga TANZANIA! What unAfrican Culture? Beware of Friday the 13th, beware triple Ks aka UTATU MTAKATIFU.

@Bukyanagandi,

Inawezekana kwamba haukosei,,,kuhusu ya de Clark,,kusomea TZ.

Hawa makaburu,,wako wale walio kuja moja kwa moja mpaka Kenya
na wale walio kua washafika TZ na kuto vumilia uongozi wa
ukolony wa majerumani na kwahivyo,,wengi wao wakahamia
Kenya.

Kwahivyo,,,anaweza kua alisomea TZ,,,lakini jamii yake
ikahamia Kenya.

http://http://archiver.rootsweb.ancestry.com/th/read/SOUTH-AFRICA/1999-03/0922352152
 
Nilishamstukiaga huyo jamaa kitambo. Macho mekundu ka mvuta bangi!

Nakala kwa: Jammu Africa

COMBPX.jpg


Hebu mcheki,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Macho ya,,,,,,,,,,,,,

SIMBA WA NYIKA

Conqueror of Tinga RAO,,,,Conqueror of British empire ,,, mwana haramu,,OBAMA,,,and,,,,
Neo-Colinialism,,,the only hope of the Kenya people:smile-big::smile-big::smile-big:

Long Live UHURU NA KAZI.

KIJANA WA ,,,,,MZEE,,,,,

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,HATUCHEKI NA WATU.

 
Ulisikia wapi simba wa nyika anavuta bangi?

Kwani,,,,,,,,,Hauna,,,habari,,,??????


uhuru+kenyatta1.JPG



Uhuru_Kenyatta_Official.jpg


Tena,,shida si kuvuta Bhangi,,,,shida ni,,,,nini unacho fanya,,,,baada ya kuvuta Bhangi,,,:tonguez:,,,,,

Kama hii bhangi,,,,iliomuezesha kumiluki na kuijumulisha mali ya baba yake na hivi ni mmoja
wa Africa's richest men.

Hii bhangi tuu,,iliyo mfanya rais wa zamani,,Moi,,,kumuona yeye tuu,na,,kumteua yeye kama
mrithi wake baada ya Moi kuwacha wengi walio kua nao.
 
Uhuru-Kenyatta.jpg



Hii bhangi tuu,,,miaka kumi baadae,,,,ana nyakua urais Kenya,,,kama mchezo tuu.

Ana shinda kwa round ya kwanza,,wakati all political scientist in Kenya and elsewhere
did not foresee a situation where Kenyatta would win that easily,,,not even in the
first round.


Defying all odds,,,this Uhuru,,,won the Kenyan presidency as if it was a child's play.

Akashinda Tinga Tinga,,the Unbwogable Jakuom,,,akamshinda,,hands down.

Na kwa hivyo,,,,in a single blow,,akawabwanga,,the Neo-colonialists and their project,,
RAO.


Ohhh,,i love this bhangi.

Defying threats from the imperialists who warned Kenya that,,choices had consequences,,most
of us Kenyans went ahead and stood with him.

If that is because of what kind of bhangi he takes,,,,i think i will have to start thinking about it,
myself.

If bhangi can add value into my damning life,,,start taking it,,,and become quarter of,,wa JOMO,,,,
then,,what is wrong with that?????

Breaking records of all records and going ahead to break that special one,,,the envy of many,,,

Where,,,,,Africa stood and shielded him from colonialists.

Something that had never,,happened.

After seeing this,,,Khamas of Botswana re thinks and takes anew position regarding,,sijui,,
crimes against humanity,,,those stupid,,vindyos by the foolish imperialists ,,,,,invites him
to Gaborone,,,,,and says sorry,,,,kwakuteleza,,,,,,,ulimi.

Kama hii ni bhangi,,,,,,,basi hata haujaona hata,,,,,ka-quarter,,,,,

Kwani,,,utaona,,,more na,,,,,sababu,,,

Simba wa Nyika,,,,,,,,, yumo,,,,,mtaani.


 
We are at the level of discussing why obama smokes?
 
Back
Top Bottom