Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
US$ 5bio. and US$ 13bio. which is bigger? Ur turning to the East has had dismal returns
Nyie Wakenya si ndiyo huwa mnamsema Kikwete kwamba anakwenda Ughaibuni kuombaomba misaada, sasa Kenyata kaenda kufanya nini?
mbona unakasirika? I thot chinese president snubbed him
I heartily support China's growing presence in Africa and believe that the continent should welcome it without abandoning its traditional partners in the West (China, after all, is a master of playing major powers against each other as it did in its dance with the US and the Soviets throughout the Cold War). But as President Kenyatta heads to Beijing tomorrow, one of the questions that should exercise his mind is why Kenya has not gotten as good a deal from the Chinese as its neighbours.
I think so, people forget that there are other major players in the international arena. Even the US is now losing out in many areas except military.
biashara,kenya aiombi misaada its called partnership
Mkuu tofauti za Uchina na nchi za magharibi including Urusi ni kwamba Wachina hawajali haki za binadamu!!! Wichana wanacho jali ni biashara basi: Actually wana msemo wao usemao " HAWAJALI RANGI YA PAKA, AWE MWEUZI AU MWEUPE CHA MUHIMU KWAO NI PAKA AWE NA UWEZO WA KUKAMATA PANYA!!" there goes a Chinese saying! Kwa hiyo unaweza kung'amua kwa nini Urusi imetofautiana sana na Uchina katika mapokezi ya ugeni nchini mwao.Kwa Uhuru hatafuti wawekezaji anatafuta mataifa yatakayomuunga mkono katilka KESI ya KIDHALIMU iliyo the HAGUE mahakama iliyoapa kuwashugulikia viongozi wa AFRIKA ili hali BUSH, BLAIR na wengine wakionekana mashujaa katika matiafa yao
Look at Ngong road,,,we have a bridge never seen anywhere
in Africa🙂
From Ngong,,very easy to travel to Mombasa without first going
to Nairobi,,,the same with,,,,,,, Nakuru.
US$ 5bio. and US$ 13bio. which is bigger? Ur turning to the East has had dismal returns
kweli mkuu he is analogueI wonder there is a thread here trying to show that Kenyatta was snubbed by Chinese President. I would think the initiator of the thread is a CORD follower. Shame on you.
Tiba
Kenya imesaini mkataba na China ambao unatoa dola bilioni tano kuimarisha huduma za Reli,Kawi na Uhifadhi wa Wanyama Pori kwa taifa hilo la Afrika Mashariki.Makubaliano hayo yaliafikiwa katika ziara ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta nchini China.
Hii ndio ziara ya kwanza ya Rais Kenyatta tangu kuchaguliwa hapo mwezi Machi mwaka huu.Serikali ya Kenya imepongeza mkataba huo na kusema utasaidia nchi kukua kiuchumi na kuboresha maisha ya raia wake.
Mwenyeji wa Kenyatta, Rais wa ChinaXi Jinping , ameelezea kuridhishwa kwake na juhudi za serikali ya Bw Kenyatta katika kuimarisha taifa la Kenya.
Mmoja wa miradi inayotarajiwa kuimarishwa ni huduma ya reli itakayounganisha bandari ya Mombasa na Mji wa Malaba ulioko mpaka na Uganda.
China pia inatarajia kufadhili miradi ya kilimo, mbolea na teknolojia nchini Kenya.
Je mkataba wa TZ tuliongia na China ulikua wa thamani gani na manufaa yepi?
unaona wivu mzee...hahahahaaah hizo hela ndogo sana, bilioni tano tuh...mbona hela za tz zinazidi hizi, huyu kenyatta awaache wachina ni wetu!
hizi hela chache mno, kenyatta kahurumiwa na mchina tuh..alafu kenya kaongeza uwongo eti wako na mafuta, tz ipo gesi nyingi tuu, hata kujamba si pia ni gesi, yaweza kutumika kwa kawi kisayansi...hivo tz msibabaike mafuta ya kenya ni ya kujipaka tuuh..