Wa Kenya,,,hatuna shida yeyote na Watanzania kwani,,ni ndugu zetu.
Shida tuko nayo,,,ni chuki ambayo,,hatujui,,,ilitoka wapi,,,kutoka kwa
wa Tanzania,,wachache.
Mahali ninaposhi,,,Kenya, Ngong,,,tunaishi na wa Tanzania wengi,,
wenye biashara zao,,wengine wameolewa na kuoa wa Kenya.
Hii shida ya wa Tanzania na wa Kenya,,,,inapatikana,,hapa
tuu,,katika hii forum,,,ambayo inaendelezwa na watu wachache
ambao,,,wanaishi Ulaya.
...................................................................................................................
Ndio,,,ni mkopo,,kutoka,,Uchina.
Kupata mkopo si kusema eti wewe ni maskini.
Mikopo iko popote duniani hata katika nchi zilizo endelea.
Hata Umarekani,,,nilisoma,,,eti,,ishawahi kupewa mikopo
na Uchina.
Lakini vile Uchina imefanya kwa Kenya,,,ni kutupea
nusu ya mikopo ambayo tuliwahi kupewa na
nchi za magharibi,,,kwa wakati wa miaka 50
na bado,,haiyonekani.
Na 21 gun salute,,,,,,,wewewewewewewe,,,ilimstusha
Kenyatta mwenyewe na wa Kenya wote.
Mitaani,,,watu walikua wanaulizana,,,,,
21 gun salute kwa rais,,wakiafrika,,Uchina????????
Nafikiri rais wa Uchina alikua anakusudia kumuumiza
Obama,,katika roho yake (ya Obash).
Na,,,akahara saana,,huko,,,sijui eti,,,white house.
USA is not heaven,,,,,to hell with Obama and his,,
twisted mind.
To hell with,,this,,useless Mosquitoes,,,,from the
west.
Let,,them help,,,Syrians and stop,,those useless
massacres,,there,,before preaching to others eti,,
human right.
Jinga sana.