President Kenyatta to visit Mozambique to bolster trade

🙂 Have a gud nite
 
Watz tunamfuatilia huyo mvuta bange wenu Kwa makini kama kaenda msumbiji kuanzisha ng'ombe "COW" mwingine ili kuleta choko choko zingine
 
Msumbiji kuna gesi, hongera kwa rais kuendelea kutafuta soko zaidi kwa ajili ya Wakenya. Kwa kweli nchi yetu imetanua, SADC tumeiteka yote.
Watz tunamfuatilia huyo mvuta bange wenu step to step isije kua kaenda huko kuwafundisha wamsumbiji mbinu za kuiba gesi ya tz chini ya ardhi maana gesi zinapakana na msumbiji huyo kenyata wenu akileta habari za NEW COW atajuta
 
Asante Kwa kutujulisha ila msije mkalia hapa kua tz inawaujumu pale tutakapo chukua hatua ya kudhibiti Kenya msumbiji some time nyinyi wakenya mnamkwamisha raisi wenu Kwa kutoa siri za serikali yake dhidi ya tz mfano COW tulikuwa atujui chochote Ila siri ilipo fichuka kuwa ni kirusi dhidi ya tz tukakitokomeza kwisha habari yake kwaiyo nakupongeza mk254 Kwa kutufungua macho kuusu mikakati ya mvuta bange wenu mnayemtegewea
 
Msumbiji kuna gesi, hongera kwa rais kuendelea kutafuta soko zaidi kwa ajili ya Wakenya. Kwa kweli nchi yetu imetanua, SADC tumeiteka yote.
Kautipe na utumbo wa kuku walisemaga wahenga
 
Tanzania ilihangaika weee kuyakomboa hayo mataifa ya kusini mwa Afrika.Ilipoteza watu wake na rasilimali nyingi mpaka ikawa maskini.Wakati huo Kenya ilikuwa ikifanya biashara na makaburu ambao kipindi hicho ndio walikuwa maadui.Sasa hivi hizo nchi zimepata Uhuru ,Kenya tena inaenda kunufaika ikiachia Tanzania kutaka tu urafiki wa mdomoni toka kwa hizo nchi!
 
Unyang'au kitu cha maana sana...nobody in this world gives a shit about you unless you got something on the table to offer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…