Rev. Damasus Mkenda
Member
- Dec 22, 2011
- 67
- 27
kobello,Mahakama za Tanzania zimetoa haki kwa wananchi tangu zilipoanzishwa. I personally know a lot of killers that received capital punishment for example. Sasa hiyo siyo justice? On the other hand, kama wananchi wanajua kuwa mahakama zao hazitoi haki, what's the solution? Running to the ICC?
I can understand somalia, Darfur,Liberia.Ila Kenya ina functioning government na ina mahakama zake kwanini hawa try hao kina Uhuru? Just trying and see what kind of judgement they will receive. They didn't even try.
Kuhusu mimi kufamiliarize with ICC, I'm familiar with na naiona haina maana yeyote.
Anywhere in this world, the judiciary is appointed by the Executive. May be you are the one who needs to familiarize yourself with these things.
I do understand that. However, the jurisdiction and admissibility of cases to the ICC is based totally on gravity which is the most weird way of administering justice. Wether it's the Kenyan Parliament that voted for it or not, still the legitimacy of ICC based on those factors is very questionable.If let's say Barick gold poisoned thousands of Tanzanians by polluting their water sources, can they (The corporation I mean) be sued? Do ICC has the jurisdiction, or is the case admissible? ... NO.kobello,
Nilipokuambia familiarise yourself na the workings of the ICC nilitaka uangalie how the Kenyan case
got there. Bunge la Kenya lilipiga kura to take the cases there through the underworkings of William
Ruto na Uhuru Kenyatta....wakidhania it would take years before the cases were adjudicated. There are
records to show this. Kwa hivyo maji walioyoyazoa sasa sharti wayakoge wenyewe!
Kisha hio hoja ya kua Judiciary inakua appointed na Executive, nilichokusudia kusema ni kua
those appointments have to be vetted by a bi-partisan parliamentary committee in order for them
to have any semblance of fairness. Hapa Marekani, Judges are elected by the people and then
appointed by the President/Attorney General in various capacities. If the Executive has a free hand in
appointing Judges then they (Judges) will definitely play to the tune of the piper. Hio ndio michezo
iliopo Africa.
Ab-Titchaz.
kobello,
Nilipokuambia familiarise yourself na the workings of the ICC nilitaka uangalie how the Kenyan case
got there. Bunge la Kenya lilipiga kura to take the cases there through the underworkings of William
Ruto na Uhuru Kenyatta....wakidhania it would take years before the cases were adjudicated. There are
records to show this. Kwa hivyo maji walioyoyazoa sasa sharti wayakoge wenyewe!
Kisha hio hoja ya kua Judiciary inakua appointed na Executive, nilichokusudia kusema ni kua
those appointments have to be vetted by a bi-partisan parliamentary committee in order for them
to have any semblance of fairness. Hapa Marekani, Judges are elected by the people and then
appointed by the President/Attorney General in various capacities. If the Executive has a free hand in
appointing Judges then they (Judges) will definitely play to the tune of the piper. Hio ndio michezo
iliopo Africa.
Ab-Titchaz.
Bado unaishi kwenye ujima, huyo Ocampo amemaliza muda wake kwenye hiyo mahakama siku nyingi zilizopita
[h=1]ICC prosecutor Moreno-Ocampo in Libya to follow up on case of Gadhafis son[/h]
By Associated Press, Published: April 18
TRIPOLI, Libya The International Criminal Courts chief prosecutor has arrived in the Libyan capital to follow up on the case of Moammar Gadhafis captured son Seif al-Islam.
The Hague-based court is locked in a legal tug-of-war with Libyas ruling National Transitional Council over who should try Seif al-Islam, who was captured last year following the ouster and death of his father.
Luis Moreno-Ocampo told The Associated Press at Tripolis airport on Wednesday he would also travel to the coastal city of Misrata to investigate allegations of abuse in detention facilities run by militiamen who fought Gadhafis forces.
Theres torture, extrajudicial executions, rape of both men and women, U.N. High Commissioner for Human Rights Navi Pillay said in January.
Copyright 2012 The Associated Press. All rights reserved. This material may not be published, broadcast, rewritten or redistributed.
Source:
ICC prosecutor Moreno-Ocampo in Libya to follow up on case of Gadhafi’s son - The Washington Post
NYie mnaota mchana and so is your so called leaders! I listened to Membe this morning and I was shocked when he said "Mahakama hii Tanzania tunaishabikia kweli"! Then I realised that Tanzania hatuna wajuvi wa masuala ya Kimataifa. Hivi kweli kale ka mahakama ka Arusha kanakosikiliza masuala ya kuvunjwa kwa treaty kanaweza kusikiliza International Crimes cases? Ubadili Treaty ili isemeje? Kwamba sasa Mahakama Ya Africa Mashariki ni Branch ya Africa ya ICC? East Africa mna mandate hiyo? Ngoja niishie hapa ili nisije nikaharibu kwa kuwatukana Marais na Mawaziri wa Africa Mashariki! Nadhani kuna mtu kawaroga halafu akafa bila kuwazindua! Ngoja nikasubiri pira ili nijipongeze, it is the easiest scapegoat from the dubness of our leaders!
Tusipo angalia Arusha yetu itageuzwa chaka la majambazi:smile-big:
A kenyan who killed/perpetuated killings of Kenyans should be tried by Kenyans.
Don't you guys have judiciary? If you do, then why the hell can't you use your own judicial system?
Someone plz explain this stupidity to me.[/ Kama hutaki wengine wakufanyie, ulitakiwa upinge sana nchi yako kusaini mkataba wa kuanzisha ICC kama zilivyofanya baadhi ya nchi. Lakini kama nchi yako ilisaini kuanzisha ICC basi ICC ni yako pia, maana huwezi ukakubali kuanzisha mahakama halafu kwenye utekelezaji uipinge.
Tatizo sio wazungu, tatizo ni kwamba nchi zetu zilisaini kuanzisha mahakama pamoja na wazungu. Sasa kwanini kwenye utekelezaji ndio muanze kuhoji habari ya wazungu. Hata hivyo sioni hoja hapo maana kama mwafrika hatakiwi kuhukumiwa na mzungu kwasababu ya uzungu wake basi pia si halali Mnyakyusa kuhukumiwa na mchaga au kabila lingine lolote na pia mchaga hatakiwi kuhukumiwa na mnyakyusa au kabila lolote lile.Hawa jamaa hata kama walifanya makosa ya namna gani, why should they be tried kwa wazungu? Hakuna majaji kenya?
Mzee Kenyatta atakua analia kaburini kwake. Kazi yote aliyofanya kutafuta uhuru wa kenya imekua bure tu!
Hata kesi ikiamishiwa arusha, to me it is still meaningless. Kenya kuna sheria na wasimamiaji wa sheria wapo, na jela zipo. Why outside kenya?