Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Afadhali sasa arudi zake Dar akatulie na kuendelea kuwatesa wadanganyika wenzie, maana hii ziara yake ya Uganda imekuwa zero kabisa. Kiingereza chake kibovu na kauli zake tata zimeharibu kabisa ziara yake.
Sasa ndio nimeamini kuwa, urais alisukumiziwa, hakuandaliwa, hakujiandaa na hakufaa.
Umetawaliwa na ukoloni mambo leo wewe... aliekuambia urais n kujua kiingereza n nani?Afadhali sasa arudi zake Dar akatulie na kuendelea kuwatesa wadanganyika wenzie, maana hii ziara yake ya Uganda imekuwa zero kabisa. Kiingereza chake kibovu na kauli zake tata zimeharibu kabisa ziara yake.
Sasa ndio nimeamini kuwa, urais alisukumiziwa, hakuandaliwa, hakujiandaa na hakufaa.
Hoyeee simba shogaMchoma kuku hoyeee!
HahahahaHawa jamaa ni kama Nzi wanatufatafata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aki umemuwezaAfadhali sasa arudi zake Dar akatulie na kuendelea kuwatesa wadanganyika wenzie, maana hii ziara yake ya Uganda imekuwa zero kabisa. Kiingereza chake kibovu na kauli zake tata zimeharibu kabisa ziara yake.
Sasa ndio nimeamini kuwa, urais alisukumiziwa, hakuandaliwa, hakujiandaa na hakufaa.
Wewe ndiyo pumbavu kweli yaani kazi kubwa aliyoifanya ya kuweka jiwe la msingi la bomba la mafuta kufufua reli ya upande wa Uganda na pia kuzindua ujenzi wa OSBP wewe umekuja kuona kiingereza tu.
kwani Magufuli ni muingereza mpaka ajue kiingereza!!?
Mbona Putin Merkel Ping wote hawa hawajui kiingereza lkn wanafanya vizuri. usiwe na colonial hangover. ni upumbavu na kukosa exposure.
Ukome kutuletea habari za hizbu na makojani hapa.
Acha ule matusi maana hamna namna sasa.