Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Afadhali sasa arudi zake Dar akatulie na kuendelea kuwatesa wadanganyika wenzie, maana hii ziara yake ya Uganda imekuwa zero kabisa. Kiingereza chake kibovu na kauli zake tata zimeharibu kabisa ziara yake.
Sasa ndio nimeamini kuwa, urais alisukumiziwa, hakuandaliwa, hakujiandaa na hakufaa.
Hujielewi mwarabu koko..