Mtu wa Mungu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 444
- 19
Chezea viongozi wa kiafrika wewe,bila icc unazani hata huko kenya kungekalika?ni ile kuogopa tu icc ndio ikawafanya wakina odinga kutulia,la sivyo pangekuwa hapatoshi,ukizingatia uchaguzi wenyewe ulikuwa na mizengwe kibao.m7 yeye kwa nini anangangania madaraka,huu ni muhula wa ngapi?mwenzake kagame pia ana mpango huo huo,juzi eti chama cha kagame kimeitisha kikao cha kamati kuu,na kujadili eti wanyaruanda wana wasi wasi kagame akiondoka vita itatokea tena,haya yote ni mipango ya kutaka azidi kutawala.icc izidi kuepo na kuwashikisha adabu viongozi wetu wanao tumia madaraka yao vibaya.wenzetu ulaya hawauwi watu wao ila wanawaprotect,sisi ni mauaji kwenda mbele.
Mseveni ni dikteta mkubwa hana sifa ya kusemea hili la ICC kama alivyolipeleka. Kwanza yeye na Kagame waanzishe katiba za kuruhusu kutawala miaka 5 mara mbili tu. Hawa viongozi wawili watatuletea matatizo makubwa katika Jumuia ya EA. Ni watu hatari sana. Hawana tofauti na Mgabe.