President Museveni’s condemnation of ICC during Uhuru's inauguration hypocritical.


Mseveni ni dikteta mkubwa hana sifa ya kusemea hili la ICC kama alivyolipeleka. Kwanza yeye na Kagame waanzishe katiba za kuruhusu kutawala miaka 5 mara mbili tu. Hawa viongozi wawili watatuletea matatizo makubwa katika Jumuia ya EA. Ni watu hatari sana. Hawana tofauti na Mgabe.
 
museveni is one the most powerful figureheads katika EAC tunapozungumza, na ameona unafiki katika mahakama hii; It is the same old story. ICC ni makao makuu ya kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…