Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Alikuchomolea nini? Manake una hasira
ndio matatizo ya kupeleka watoto wa kitanzania kwenye shule pekee ya kizungu
Gaijin, ukitaka umpate Nyani basi uwe unafananafanana na mzungu au unaongeaongea kama mzungu:
NW - anaongea kizungu vizuri
EC - amefundwa kizungu na mamaye
MC - ana uzunguzungu 'damuni' n.k
Hmmmm makini my foot. Alivyomshobokea Kikwete ile 2005 na umakini wapi na wapi bana
Hahahaaa haya bana....naona kweli wewe umeniamulia leo.
Mimi siko hivo ban
Gaijin, ukitaka umpate Nyani basi uwe unafananafanana na mzungu au unaongeaongea kama mzungu:
NW - anaongea kizungu vizuri
EC - amefundwa kizungu na mamaye
MC - ana uzunguzungu 'damuni' n.k
hebu cheki picha ya facebook ya huyo nambari tatu uone utakavyochanganyikiwa mbele ya screen !
Usimtafutie balaa mwenzio saa hizi. Ngabu ukienda huko unaweza kujikuta unahama jimbo! hahahah
Usimtafutie balaa mwenzio saa hizi. Ngabu ukienda huko unaweza kujikuta unahama jimbo! hahahah
G & N ngoja mimi nipige mbonji, laters.
PS. NN, ulitamani MM ndio awe EM ee!
Ngabu na Companero mkishakutana ni kuturingishia watu wa Mlimani tu, hala hala wengine ni dada, kaka, wachumba, wachuchu za watu!
Na Steve Dii na kuna na mwingine hivi sikumbuki ID yake....
No.1. Hasheem Langu lipo karibu na Mwisho!Ngoja ntacheki kwene database nione nani ni eligible bachelors.
No.1. Hasheem Langu lipo karibu na Mwisho!
Huyo mwengine ngoja ntafukunyua makabrasha nikutajia hapa hapa...lol!Afadhali Bee umekuja kunisaidia, nilishamtaja huyo SteveDii, huyo mwanaharasha mwengine sijamjua nani tu, ningemtumia nae mabomu ya masafa marefu huko huko alipo
Huyo mwengine ngoja ntafukunyua makabrasha nikutajia hapa hapa...lol!
Hawakawii kuharibia wenzao hawa. Halafu Stivee hii haitampita...hehehee yaani kama huwa wanakereketwa hivi wasipoyaongelea haya...wabaya sana hawa.
Hahahaaa kumbe hujagundua, uchafuzi wao unalengo la kuwafanya wabaki peke yao kwenye territory...ujanja huo wa kuzuia ushindani! Lol!Fanya mambo kisha jina ulilete haraka liingizwe kwenye hansad, wanataka kutuchafua na kutuchafulia hivi hivi! :A S embarassed: