President ngabu n, tolea ufafanuzi swala hili

President ngabu n, tolea ufafanuzi swala hili

Gaijin, ukitaka umpate Nyani basi uwe unafananafanana na mzungu au unaongeaongea kama mzungu:

NW - anaongea kizungu vizuri

EC - amefundwa kizungu na mamaye

MC - ana uzunguzungu 'damuni' n.k
 
Gaijin, ukitaka umpate Nyani basi uwe unafananafanana na mzungu au unaongeaongea kama mzungu:

NW - anaongea kizungu vizuri

EC - amefundwa kizungu na mamaye

MC - ana uzunguzungu 'damuni' n.k

Hahahaaa haya bana....naona kweli wewe umeniamulia leo.

Mimi siko hivo ban
 
Ndio maana hata hapa Ngabu alikuwa hapindui kwa No Name. Alisikia mweupe kaa Mzungu na Kizungu cha kurushiana maneno kilikuwa hakimtoki kichwani ...hahahaha

Gaijin, ukitaka umpate Nyani basi uwe unafananafanana na mzungu au unaongeaongea kama mzungu:

NW - anaongea kizungu vizuri

EC - amefundwa kizungu na mamaye

MC - ana uzunguzungu 'damuni' n.k
 
G & N ngoja mimi nipige mbonji, laters.

PS. NN, ulitamani MM ndio awe EM ee!
 
Ngabu na Companero mkishakutana ni kuturingishia watu wa Mlimani tu, hala hala wengine ni dada, kaka, wachumba, wachuchu za watu!

Na Steve Dii na kuna na mwingine hivi sikumbuki ID yake....
 
Na Steve Dii na kuna na mwingine hivi sikumbuki ID yake....

Afadhali Bee umekuja kunisaidia, nilishamtaja huyo SteveDii, huyo mwanaharasha mwengine sijamjua nani tu, ningemtumia nae kombora la masafa marefu huko huko alipo
 
Afadhali Bee umekuja kunisaidia, nilishamtaja huyo SteveDii, huyo mwanaharasha mwengine sijamjua nani tu, ningemtumia nae mabomu ya masafa marefu huko huko alipo
Huyo mwengine ngoja ntafukunyua makabrasha nikutajia hapa hapa...lol!
Hawakawii kuharibia wenzao hawa. Halafu Stivee hii haitampita...hehehee yaani kama huwa wanakereketwa hivi wasipoyaongelea haya...wabaya sana hawa.
 
Fanya mambo kisha jina ulilete haraka liingizwe kwenye hansad, wanataka kutuchafua na kutuchafulia hivi hivi! :A S embarassed:
 
Fanya mambo kisha jina ulilete haraka liingizwe kwenye hansad, wanataka kutuchafua na kutuchafulia hivi hivi! :A S embarassed:
Hahahaaa kumbe hujagundua, uchafuzi wao unalengo la kuwafanya wabaki peke yao kwenye territory...ujanja huo wa kuzuia ushindani! Lol!
 
@ prezdaa NN

Nina sisy wangu alikimbilia huko ughaibuni miaka kama 9 iliyopita ,
Kila siku nikumuuliza mbona huji kusalimia home
anadai next year kila siku ,next year mpaka leo inaelekea kukamilika mwaka wa 9.5
Lakini kila siku namuona FB mara leo kaweka nywele za blue, kesho za kijani ,yuko club tofauti tofauti na anapiga picha na magari ya kila aina:biggrin:
Kila Nikimuuliza how do you do for life in ughaibuni anadai bado bado namalizia degree yangu.
Nashindwa kuelewa kabisa nini kimemkwamisha binti kurudi home hata mara moja kwa miaka 4
na hiyo degree huwa haiishi..
Nini tatizo huko?
 
Back
Top Bottom