Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah imezuia jeshi lisichukue nchi? kwani jeshi limesema linachukua nchi.Mahakama kuu imezuia jeshi kuchukua nchi kwani ni kinyume na katiba.
Hata kuingia mitaani ni mpaka kwanza Bunge liazimie.
Wanajeshi kuwaruhusu kwenda mtaani ni kuwarahisishia kuchukua nchi kama walikuwa hawajuiMahakama kuu imezuia jeshi kuchukua nchi kwani ni kinyume na katiba.
Hata kuingia mitaani ni mpaka kwanza Bunge liazimie.
mimi nimesema jeshi linachukua nchi kesho.Nimemjibu huyo atakaye taharuki.
Innocent people died buddah!He will not sign the bill which means the bill goes back to the parliament.
Is that not enough?
Katiba ya Kenya ufananishe na hiki kilichoitwa k*jit*b* 😯Jiwe hayupo,Samia anawaruhusu wanaandamana.
Hakuna Rais pale ukichanganya na Katiba Yao mbovu
Narudia tena Ile ni Moja ya Katiba mbovu kabisa ndio maana hawaishi kusuguana kwenye madaraka ,juzi tuu hapo wameanzisha nafasi ya PM wakati walifuta.Katiba ya Kenya ufananishe na hiki kilichoitwa k*jit*b* 😯
Hii ya Tanzania imeondoa ufisadi,njaa na madeni?On top of that imeshindwa kabisa kuondoa Ufisadi,njaa,Madeni na upumbavu mwingine huko Kenya au wewe unitajie ubora wake ni upi.
-Tanzania ni lowest deni East Africa na SADC kwa.ujumla.Hii ya Tanzania imeondoa ufisadi,njaa na madeni?
Au nyani haoni kundule...
Hivi statement yako inakiri kuwa ufisadi upo 😂Tanzania Haina Ufisadi kama Kenya
Hakuna Nchi Haina Ufisadi hapa Duniani ila Tzn upo.kwa.kiwango.kidogoHivi statement yako inakiri kuwa ufisadi upo 😂