President Ruto of Kenya is the type of person Africa need right now. He shows maturity in understanding deep and underlined issues

Jiwe hayupo,Samia anawaruhusu wanaandamana.

Hakuna Rais pale ukichanganya na Katiba Yao mbovu
That is the tactic deployed to deviate attention when proceeds of businesses are taking place.

It is so called "Maridhiano".
 
Mahakama kuu imezuia jeshi kuchukua nchi kwani ni kinyume na katiba.

Hata kuingia mitaani ni mpaka kwanza Bunge liazimie.
Hahahah imezuia jeshi lisichukue nchi? kwani jeshi limesema linachukua nchi.
 
Mahakama kuu imezuia jeshi kuchukua nchi kwani ni kinyume na katiba.

Hata kuingia mitaani ni mpaka kwanza Bunge liazimie.
Wanajeshi kuwaruhusu kwenda mtaani ni kuwarahisishia kuchukua nchi kama walikuwa hawajui
 
Nimemjibu huyo atakaye taharuki.
mimi nimesema jeshi linachukua nchi kesho.
Wewe ukasema mahakama imezuia jeshi lisichukue nchi, nikakuuliza kwani jeshi limesema linachukua nchi au mimi ndo nimesema?
 
Katiba ya Kenya ufananishe na hiki kilichoitwa k*jit*b* 😯
Narudia tena Ile ni Moja ya Katiba mbovu kabisa ndio maana hawaishi kusuguana kwenye madaraka ,juzi tuu hapo wameanzisha nafasi ya PM wakati walifuta.

On top of that imeshindwa kabisa kuondoa Ufisadi,njaa,Madeni na upumbavu mwingine huko Kenya au wewe unitajie ubora wake ni upi.
 
Hii ya Tanzania imeondoa ufisadi,njaa na madeni?
Au nyani haoni kundule...
-Tanzania ni lowest deni East Africa na SADC kwa.ujumla.
-Tanzania Haina Ufisadi kama Kenya
-Tabznaia Haina njaa
-Kwa Katiba hii hii ya Tanzania tumeongoza Kwa uhuru wa vyombo vya habari
-Hakuna mauaji ya vyombo vya Dola kama Kenya

Mpaka hapo uniambie Katiba Mpya mnayotaka iweje na itakuwa na faida zipi Kwa Mwananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…