President Samia for 2025!

Alizokula zinamtosha akalee wajukuu zake huko dole, mboga mboga wasije kufanya tena kosa la kutuletea mchambawima kutuongoza, alichofanikiwa kwenye utawala wake ni kuzalisha machawa kushinda wote waliomtangulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…