President Samia Hassan: It was tough working with Mr Magufuli at times

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
Siri gani,mbona mnaficha ficha mambo ambayo yapo wazi.Nani asiyejua kuwa Magufuli ilikuwa kazi kufanya nae kazi,nani asiyejua Magufuli alikuwa hakubaliani na the so called COVID.
 
CCM wameamua kujitenga na Magufuli wakati huyo Magufuli yuko madarakani tangu serikali ya awamu ya 3, kawa naibu waziri, kawa waziri mpaka kaja kuwa rais. Sidhani kama wazungu ni wajinga wakuamini hizi propaganda.
 
Kati ya mambo aliyochemka sana Magufuli ni pamoja na kumteua huyu mama kuwa makamu wake, ona sasa namna anavyomvua Nguo hadharani, too bad wakati Magufuli hayupo tena kwa utetezi
 
Wamesahau jinsi "alivyokiokoa chama" kwenye uchaguzi wa 2015
 
Kati ya mambo aliyochemka sana Magufuli ni pamoja na kumteua huyu mama kuwa makamu wake, ona sasa namna anavyomvua Nguo hadharani, too bad wakati Magufuli hayupo tena kwa utetezi
Na Kati ya Mambo waliyochemka kina Kikwete, Kinana na Mkapa Ni kumweka Kibwengo magufuli IKULU.

Nadhani walijuta mnoooo
 
Kati ya mambo aliyochemka sana Magufuli ni pamoja na kumteua huyu mama kuwa makamu wake, ona sasa namna anavyomvua Nguo hadharani, too bad wakati Magufuli hayupo tena kwa utetezi
Kama hadithi za kuwahishwa ni kweli basi kuna uwezekano mkubwa ndie master mind
 
Back
Top Bottom