Kweli hapa nakubaliana na ww hizo zinatakiwa kuwa ni siri no matter what!Kuna siri za nchi lazime azilinde ikiwemo hiyo ya Mwendazake kufa kwa covid au matatizo ya moyo.
Yaani Chato dynasty kende zote ziko nje, msuli unavutwaHahahaha legacy inazidi kuvuliwa kimataifa nguo huku 😂
Tulishaonya humu afundishwe namna ya kujibu maswali,sasa kabanwa kwa lugha za beberu hana pa kutokea imebidi atoe ya moyoni[emoji3]Hahahaha legacy inazidi kuvuliwa kimataifa nguo huku [emoji23]
Wamesahau jinsi "alivyokiokoa chama" kwenye uchaguzi wa 2015CCM wameamua kujitenga na Magufuli wakati huyo Magufuli yuko madarakani tangu serikali ya awamu ya 3, kawa naibu waziri, kawa waziri mpaka kaja kuwa rais. Sidhani kama wazungu ni wajinga wakuamini hizi propaganda.
Na Kati ya Mambo waliyochemka kina Kikwete, Kinana na Mkapa Ni kumweka Kibwengo magufuli IKULU.Kati ya mambo aliyochemka sana Magufuli ni pamoja na kumteua huyu mama kuwa makamu wake, ona sasa namna anavyomvua Nguo hadharani, too bad wakati Magufuli hayupo tena kwa utetezi
Kama hadithi za kuwahishwa ni kweli basi kuna uwezekano mkubwa ndie master mindKati ya mambo aliyochemka sana Magufuli ni pamoja na kumteua huyu mama kuwa makamu wake, ona sasa namna anavyomvua Nguo hadharani, too bad wakati Magufuli hayupo tena kwa utetezi
Nimesikiliza hotuba hajasema kitu kama hichoMs. Hassan, who is soft-spoken and comes across as reserved, said that as vice president, it was “tough” working with Mr. Magufuli at times, and that she argued with him on several issues, including his Covid denialism. She rebutted the idea that he had succumbed to Covid and said he had died of heart complications.
More: Tanzania’s First Female President Wants to Bring Her Nation in From the Cold
Haha samia kafunguka ya moyoni 😂Tulishaonya humu afundishwe namna ya kujibu maswali,sasa kabanwa kwa lugha za beberu hana pa kutokea imebidi atoe ya moyoni[emoji3]