#COVID19 President Samia hires Tony Blair to help in the fight against COVID-19, and rebuild the country's reputation


Hii nchi inafuata system ya Laanatullahi Nyerere. Waliomweka madarakani Nyerere ni Waingereza baada ya kupinduliwa Na wanajeshi. Muingereza hana mjomba wala Shangazi kwa Nyerere. Alichohitaji ni maslahi yake aliyokubaliana na Nyerere. Ndiyo ukawaona akina Blair Na wazungu wenzake wapo kwa maneno ya Changa la macho.
Si Samia wala yeyote hawezi kuwafukuza. Akijaribu kesho Bendera zitapepea nusu mlingoti.
Waingereza ni Cobra wa dunia
 
Ukizoea kupenda watu wa hovyo, inakuwa ni shida kwako na kwa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…