UK sense of humor, na alivyo free na anawaongoza ni kitu kinachovutia na kufundisha, hapa unaona UK ambavyo yeye ni binadamu na ana hisia, another reason why UK and Margaret are one of my favorite Presidential couple.
I had to post this YouTube video.
Mungu ibariki Afrika.
kama tukianzisha shindano la wanasiasa wenye sura mbaya kati ya kenya na tz,bila shaka kenya itaibuka kidedea.:biggrin::biggrin:
kama tukianzisha shindano la wanasiasa wenye sura mbaya kati ya kenya na tz,bila shaka kenya itaibuka kidedea.:biggrin::biggrin:
eugene wamalwa
ndio nanayo ila mimi sio mwanasiasa.Wewe kwanza una hakika una sura nzuri?
Hahaha don't tell me you guys will start kyshindana "uzuri" wa wanasiasa wenu
Haha haha.
ndio nanayo ila mimi sio mwanasiasa.
Kila mtu duniani hudhania anavutia. Hauwezi pata mtu anakubali yeye sura mbaya. So,I dont biliv u (entirely).
Lakini beauty lies in the eyes of the beholder. Hao unaowataja 'sura mbaya' pia wamepata kuwavutia watu fulani,ndo maana sahizi wana wake na watoto.
basi kama ni hivyo acheni kudharau wanasiasa wa tz kwa haiba yao.
basi kama ni hivyo acheni kudharau wanasiasa wa tz kwa haiba yao.
Huyu si mwanasiasa ni muondoko huu..yani huyu si ni babu?huo uwezekano mkubwa umepata wapi ?
tafiti hiyo imefanywa wapi ?
imefanywa lini ?
nani aliyoifanya ?
kwa watu wangapi ?
mbona mimi sijahojiwa ?
huyo uhuru watu washawahi kukamata bangi inaingizwa ikulu yenu na hayo macho yake unaunganisha dots tu
huna haja ya kuingia gharama kuja tanzania kujifunza maana ya neno "haiba".ila tunakukaribisha uje kufanya matembezi kama sisi tunavyo kuja kenya.Nyinyi kwa mara nyingi ndo mmetumock sana kwa 'haiba' hiyo, ati wakenya sura mbaya.
Nitakuja bongo nijifunze kiswahili cha huko. 'Haiba'.