President Uhuru caught on camera

President Uhuru caught on camera

Ukweli1

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
550
Reaction score
333
UK sense of humor, na alivyo free na anawaongoza ni kitu kinachovutia na kufundisha, hapa unaona UK ambavyo yeye ni binadamu na ana hisia, another reason why UK and Margaret are one of my favorite Presidential couple.
I had to post this YouTube video.

Mungu ibariki Afrika.
 
Last edited by a moderator:

HAHAHA after he noticed he was being taped he becomes bashful!
 
10888738_785101408237070_6153133001765828126_n.jpg
 
Mmojawapo wa wanaogombea urais wa Tanzania mwaka wa 2015 na ambaye anauwezekano mkubwa kushinda maana Wabongo ni wale wale. Huyu hapa Steven Wassira. Huyu ndiye wanamtegemea atawasaidia kuifikia Kenya kiuchumi.
Bulldog kadoda11

images

2.-Wasira.jpg
 
huo uwezekano mkubwa umepata wapi ?
tafiti hiyo imefanywa wapi ?
imefanywa lini ?
nani aliyoifanya ?
kwa watu wangapi ?
mbona mimi sijahojiwa ?

huyo uhuru watu washawahi kukamata bangi inaingizwa ikulu yenu na hayo macho yake unaunganisha dots tu
 
kama tukianzisha shindano la wanasiasa wenye sura mbaya kati ya kenya na tz,bila shaka kenya itaibuka kidedea.:biggrin::biggrin:

eugene wamalwa
Justice%20mInister%20Eugene%20L%20Wamalwa.jpg

DSC00054(1).jpg
 
Hahaha don't tell me you guys will start kyshindana "uzuri" wa wanasiasa wenu
Haha haha.
 
they cant dare do that,wanajua tutawachapa "mbakaora mingi sana"......hili jambo kaanzisha MK254 kwa kuweka picha ya steven wasira,alipoona moto aliounzisha hatoweza kuuzima akaingia mitini.
 
Last edited by a moderator:
ndio nanayo ila mimi sio mwanasiasa.

Kila mtu duniani hudhania anavutia. Hauwezi pata mtu anakubali yeye sura mbaya. So,I dont biliv u (entirely).

Lakini beauty lies in the eyes of the beholder. Hao unaowataja 'sura mbaya' pia wamepata kuwavutia watu fulani,ndo maana sahizi wana wake na watoto.
 
basi kama ni hivyo acheni kudharau wanasiasa wa tz kwa haiba yao.
 
Soma uzi taratibu uone dharau zimeanzia wapi, mada imeletwa kuhusu Uhuru kunukuliwa akiimba wimbo wa Sauti Sol. Halafu kama kawaida yenu, msharogwa, mkaleta picha ya Uhuru ambayo haihusiani. Na mimi nikawaletea ya rais wenu mtarajiwa.
 
basi kama ni hivyo acheni kudharau wanasiasa wa tz kwa haiba yao.

Nyinyi kwa mara nyingi ndo mmetumock sana kwa 'haiba' hiyo, ati wakenya sura mbaya.

Nitakuja bongo nijifunze kiswahili cha huko. 'Haiba'.
 
huo uwezekano mkubwa umepata wapi ?
tafiti hiyo imefanywa wapi ?
imefanywa lini ?
nani aliyoifanya ?
kwa watu wangapi ?
mbona mimi sijahojiwa ?

huyo uhuru watu washawahi kukamata bangi inaingizwa ikulu yenu na hayo macho yake unaunganisha dots tu
Huyu si mwanasiasa ni muondoko huu..yani huyu si ni babu?
 
Nyinyi kwa mara nyingi ndo mmetumock sana kwa 'haiba' hiyo, ati wakenya sura mbaya.

Nitakuja bongo nijifunze kiswahili cha huko. 'Haiba'.
huna haja ya kuingia gharama kuja tanzania kujifunza maana ya neno "haiba".ila tunakukaribisha uje kufanya matembezi kama sisi tunavyo kuja kenya.

kwa msaada wa internet,anza kujifunza leo:HAIBA NI NINI?.[h=3][/h]
 
Taking a daytime nap is a sign of sleepless nights due to overstay in pubs or stress or interminable pain.
 
Back
Top Bottom