President Uhuru caught on camera

Soma uzi taratibu uone dharau zimeanzia wapi, mada imeletwa kuhusu Uhuru kunukuliwa akiimba wimbo wa Sauti Sol. Halafu kama kawaida yenu, msharogwa, mkaleta picha ya Uhuru ambayo haihusiani. Na mimi nikawaletea ya rais wenu mtarajiwa.
Huyo hata kwenye top 10 hawezi kuingia kwenye possibles.
 
kama tukianzisha shindano la wanasiasa wenye sura mbaya kati ya kenya na tz,bila shaka kenya itaibuka kidedea.:biggrin::biggrin:

eugene wamalwa



Huyu ni mwanaume?
 
Uhuru mzur tu jicho na mdomo kwan ww hujui au unatutega tu kitu msitu a k a mmea
 
Mmeshaondoka kwenye topic.


Nadhani pande zote mbili zitarudi kwenye topic wakishajuwa nani apendezae. Natumai wanaume walio hapa sio mashoga, sio kawaida wanaume kubandika picha za wanaume wengine kuona ni mwaume yupi kavutia sura kuliko mwengi, hiyo huwa ni kazi ya wanawake. Tungoje tuone kutaendaje. 😛oa:ranger:
 

Endelea kupuliza kama mkuu wako
 
[MENTION][/MENTION]
kama tukianzisha shindano la wanasiasa wenye sura mbaya kati ya kenya na tz,bila shaka kenya itaibuka kidedea.:biggrin::biggrin:

eugene wamalwa



Hahaaaaaa!, jamani huwa sipendi kucheka kuhusu watu but, this's too much!
Yaani JF ni "grown ups playground"

We kadoda11 wewe....lol!

CC MK254
 
Last edited by a moderator:
Mmojawapo wa wanaogombea urais wa Tanzania mwaka wa 2015 na ambaye anauwezekano mkubwa kushinda maana Wabongo ni wale wale. Huyu hapa Steven Wassira. Huyu ndiye wanamtegemea atawasaidia kuifikia Kenya kiuchumi.
Bulldog kadoda11




Labda kama wewe na babayako ndo mtampigia kura Wassira....Nyang'au uliyekatwa mkia wewe!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…