Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Huyo hata kwenye top 10 hawezi kuingia kwenye possibles.Soma uzi taratibu uone dharau zimeanzia wapi, mada imeletwa kuhusu Uhuru kunukuliwa akiimba wimbo wa Sauti Sol. Halafu kama kawaida yenu, msharogwa, mkaleta picha ya Uhuru ambayo haihusiani. Na mimi nikawaletea ya rais wenu mtarajiwa.