Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Nyinyi sio china, urusi au ujerumani. Those are ancient civilizations na nchi zilizoendelea kaka.Wehu kweli nyie sijui mnawaza kwa makalio...ushawahi mwona rais wa china au uh
Jeruman au Urusi anahutubia kiingereza?
Mda mwengine kujibu swali ndo IQ yako inajieleza...hv unajua kiswahili kinazungumzwa na zaidi ya watu million 100 ndo maana hadi UN kinatambulika....msipende kua watumwa kisa misaada hapo mlipo mnafungiwa ndani kama kuku kisa kenyata kashakula mikopo ya corona..mtakufa njaaNyinyi sio china, urusi au ujerumani. Those are ancient civilizations na nchi zilizoendelea kaka.
Nyie ni LDC maskini ambaye hana chochote cha kuigwa. Ata Kiswahili sio chenu.
Magufuli ajifunze Kingereza apanue diplomasia ya inchi awache kuzingizia kubana matumizi [emoji23][emoji23]
Ata sisi & Uganda tunakijua kiswahili tena kwa Undani kuwaliko lakini haijatufanya tusinjifunze Kingereza.Mda mwengine kujibu swali ndo IQ yako inajieleza...hv unajua kiswahili kinazungumzwa na zaidi ya watu million 100 ndo maana hadi UN kinatambulika....msipende kua watumwa kisa misaada hapo mlipo mnafungiwa ndani kama kuku kisa kenyata kashakula mikopo ya corona..mtakufa njaa