Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Nyinyi sio china, urusi au ujerumani. Those are ancient civilizations na nchi zilizoendelea kaka.Wehu kweli nyie sijui mnawaza kwa makalio...ushawahi mwona rais wa china au uh
Jeruman au Urusi anahutubia kiingereza?
Nyie ni LDC maskini ambaye hana chochote cha kuigwa. Ata Kiswahili sio chenu.
Magufuli ajifunze Kingereza apanue diplomasia ya inchi awache kuzingizia kubana matumizi [emoji23][emoji23]