President William Ruto vs Former vice president Gachagua: Mchongoano Politics Heat Up

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Vita ya kisiasa kati ya William Ruto na Rigathi Gachagua imechukua turn ya ajabu kutoka kwa sera hadi matusi ya mwili.

Gachagua alianza kwa kumtania Ruto kuhusu kupungua uzito, akidai “amekonda sana,” jambo lililochekesha umati. Ruto hakukaa kimya alimjibu kwa kusema wapinzani wake ni wanene, hawafanyi exercise na wanakula kupita kiasi.

Badala ya kujadili maendeleo na policies, viongozi hawa sasa wanashindana kwa insults na mockery. Politics imegeuka kama “mchongoano battle,” ambapo personality attacks zinachukua nafasi ya agenda za wananchi.
Maoni yako ni yapi kwa swala hili?

Source: Citizen digital
 
Bora siasa hiyo ya kutupiana vijembe kuliko hii ya kwetu ya kusingiziana kesi za uhaini zisizo na ushaidi.
 
Back
Top Bottom