Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
hivi kwa nini viongozi wa afrika huwa hawapigi picha kama hizi? afrika sub-saharan tuko peke yetu dunia hii kwenye mambo mengi sana, tujaribu kuiga angalau wenzetu rest of world wanavyofanya mambo, dunia nzima viongozi huwaweka mbele wenza wao, ila afrika ni nadra sana kuona picha kama hii, ni kwa nini labda? afrika riais anaweza kuongoza hata miaka 5 lkn hakuna siku anatokea na mwenza wake wakiwa pamoja, kwa nini lkn?
president xi na mke wake akilakiwa na raisi sisi na mke wake mjini cairo, beautiful people.
sisi na first lady mke wake hayuko mbali kila mahali anaenda naye ...
president xi na mke wake akilakiwa na raisi sisi na mke wake mjini cairo, beautiful people.
sisi na first lady mke wake hayuko mbali kila mahali anaenda naye ...