Hii haiwezekani kwa sababu ya sisi kuendekeza michepuko. Utasimama na nani, mke ambaye ni pambo tu au yule unayekula K yake na kuridhika (ingawa protokali haziruhusu umuoneshe hadharani). Kumbuka majambo ya K ni siri na mambo ya sirini hubaki siri si kuyaweka hadharani.hivi kwa nini viongozi wa afrika huwa hawapigi picha kama hizi? afrika sub-saharan tuko peke yetu dunia hii kwenye mambo mengi sana, tujaribu kuihga angalau wenzentu rest of world wanavyofanya mambo, dunia nzima viongozi huwaweka mbele wenza wao, ila afrika ni nadra sana kuona picha kama hii, ni kwa nini labda? ...
president xi na mke wake akilakiwa na raisi sisi na mke wake mjini cairo, beautiful people.
View attachment 3662264
sisi na first lady mke wake hayuko mbali kila mahali anaenda naye ...
View attachment 3662265
Hii haiwezekani kwa sababu ya sisi kuendekeza michepuko. Utasimama na nani, mke ambaye ni pambo tu au yule unayekula K yake na kuridhika (ingawa protokali haziruhusu umuoneshe hadharani). Kumbuka majambo ya K ni siri na mambo ya sirini hubaki siri si kuyaweka hadharani.
Pole Ukweli ndivyo ulivyobinafsi naamini picha kama hizo ni muhimu hata kama labda itaonekana ni jambo lisilo na maana lkn ina umuhimu sana kwenye jamii, watu wengi hasa vijana wanaangangalia jinsi wakubwa wanovyoishi na kuwaiga, hivyo kama raisi wa nchi akitokea na kuonyesha kumjali na mke wake itawafanya vijana wengi pia kuona ni jambo jema, nina imani happy family inazaa happy nation pia kwa maoni yangu, lkn kama watu wazima kama unavyosema wanatoa umuhimu kwa michepuko badala ya familia vijana wanaona na wanaoiga hivyo matokeo yake ndiyo hayo tulionayo leo hii ...