President Yoweri Museveni: Uganda protest organisers playing with fire

President Yoweri Museveni: Uganda protest organisers playing with fire

Uganda kama uganda
Untitled.jpg
 
Maandamano konki ni yale ghafla bin vuu watu wanaingia road km yale ya Libya ndani ya masaa kadhaa tu mmeshafanya maoinduzi ila haya ya kupanga mpaka siku huyo mzee si nae anaaandaa jeshi.
 
Kwa hiyo na wewe unajiona una matatizo ya akili?
Mkuu umechelewa mno kujua nguvu ya umma haijawahi kushindwa popote pale ulimwenguni pale inapoamua jambo lake.

Hata usambaze vikosi vyote mitaani na mabunduki bado askari watasalimu amri.
Mfano ni Kama pale Libya baada ya nguvu ya uma kuishinda serikali na vikosi vyake hivi sasa wanaishi kwa amani na upendo si ndio mkuu...,😎😎😎
 
Back
Top Bottom