Presidential Candidates officially on the ballot....It's all systems Go!

Presidential Candidates officially on the ballot....It's all systems Go!

suala si kuwa sawa na Slaa bali ni muhimu kupewa ulinzi kwa vile huwezi jua kinachoweza tokea nathani ulishuhudia red guard ikitoa ulinzi kwa Dr Slaa wakati wa kampeni! imagine UK au RAO anakuwa assassinated....a war start in Kenya right away

That is what I am against! Comparing Kenyan Politics with Tanzanians. The Tanzanians lack guts and dare which Kenyans possess! If it happens mgombea wa uraisi hapa Tanzania kauwawa wa TLP, DP or NLD itakuwa tu sababu siku zake zimefika na ndio njia yake ya kufia! But it won't be sababu eti yeye ni threat in politics. Labda huko mbele sana.
 
Back
Top Bottom