PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

Kitabu cha marehemu mzee mkapa ni cha kipekee sana maana ameandika kuanzia changamoto alizopitia mpaka anakuja kuwa Rais.shida ni pale alipoandika mpaka madhaifu yake, hii yataka moyo sana kukubali kuwa kama binadamu kuna kipindi unakosea. Hata baba wa taifa akuwahi kusema madhaifu yake japo wengi wanajua kuna vitu vingi hakuwa sawa.
 
Mh! hicho Kiswahili chenyewe kwani kimooo? au tutakandikija na kisukumaaa
 
Bora hata kiingereza, kiswahili hajui kabisa huyu mzee.Si unajua sisi watu wa kanda ya ziwa!.
 


!
!
Sio ya kizalendo...atumie anayoimudu aachane kabisa na kiingereza.
 
Mimi ni Msukuma pure nimezaliwa na kukulia kijijini lugha ninayoitumia sana ni kisukuma
Nakwambia jiwe anaongea kisukuma kama watu wanaojifunza
Hata kama wewe ni msukuma usimdharau mkuu wa nchi yako
 
Hata akiandika kwa kiswahili inabidi muswada upelekwe Baraza la Kiswahili Tanzania ukahaririwe maana hata kiswahil fasaha hajui
Angeandika Kisukuma kisha akatafutwa wa kumtafsiria 👺
Tanzania tuna uhuru wa kumjadili raisi sana ingekua kule korea kaskazini Jinikashkash ungekua unanyea debe lako sasa hivi😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…