black short
JF-Expert Member
- Nov 16, 2019
- 519
- 974
kwani anastaafu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli atoke tu atakuwa kachoka kuongoza watu kama lile bunge ni mzigo tena wamisimuri ya moto na pilipili juuYeye binafsi alikiri kuwa ni lazima atoke muda ukifika
Mbona hii inajulikana tangia zamani sana mzee baba...Leo ndo nimejua kumbe kiswahili ni lugha ya wazalendo
Hapana ila ndio lugha nadhani anayoweza kujieleza kwa ufasaha ( coherently)Kwani kisukuma ni lugha ya taifa boss?
Bora hata kiingereza, kiswahili hajui kabisa huyu mzee.Si unajua sisi watu wa kanda ya ziwa!.Habari zenu JamiiForums.
Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza Kisukuma kule!, wakasema sijui Kiingereza, niliamua kuzungumza Kiswahili na kuki-promote kwasababu ni lugha iliyoachwa na Baba wa Taifa"
View attachment 1697021
Picha hapo juu ni Mh. Rais Dk. JP Magufuli akiwa na Waziri wa mashauri ya kigeni Prof. Kabudi wakikabidhi vitabu vya kiswahili kwa Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kusini Mh. Ramaphosa katika harakati ya kuhakikisha lugha hii tamu inakuwa na kuenea kwa haraka zaidi nje ya mipaka ya Tanzania na Afrika ya Mashariki.
Kitabu cha Kiingereza cha Mzee Mkapa: My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers
Mheshimiwa, hayati Benjamin William Mkapa ndiye aliyekuwa rais wa tatu wa Tanzania, aliyechaguliwa chini ya mfumo wa kwanza wa vyama vingi hapa nchini. Kitabu chake kinafafanua kumbukumbu zake kutokea utotoni, wakati bado akiwa rais, na kuendelea kwake kujihusisha (hata baada ya kustaafu) kwenye masuala ya kimataifa yahusuyo maendeleo na upatanishi wa amani.
Kitabu hiki kinavutia sana kwa wasomaji wanaopenda kujua kuhusiana na, kadhia aliyoipitia mwafrika katika kipindi cha ukoloni hususan eneo zima la Afrika Mashariki na mapambano ya uhuru na harakati za ukombozi wa nchi kadhaa za kusini mwa Afrika.
Mheshimiwa Mkapa ameandika pia kuhusu utoto wake, kukomaa kwake kisiasa, mabadiliko ya kimfumo/kiutawala na kisiasa nchini Tanzania, na vile vile machafuko ya kisiasa katika nchi jirani.
Kitabu hiki kimejaa maoni yake juu ya uongozi na ushauri kwa viongozi wanaochipukia kama dada yangu mama D. Baada ya Mwalimu Julius Nyerere, ni vitabu vichache sana vimeandikwa na viongozi wakuu wa Tanzania juu ya mageuzi ya nchi; kwa kweli bila kuwa mnafiki vitabu vingi vinavyosomwa hapa nchini vimeandikwa na wageni kuliko watanzania, kwa hivyo kitabu cha Mh. Mkapa ni mfano bora wa kuigwa.
OMBI LANGU: Itapendeza sana kama Rais Magufuli ataandika kitabu cha maisha yake kwa kutumia lugha ya wazalendo ya KISWAHILI.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Bado haujaeleweka mkuuLeo ndo nimejua kumbe kiswahili ni lugha ya wazalendo,daaa aisee haya wale wazalendo wa uingereza leo mtupishe kidogo tuna jambo letu waswahili sisi!
Au sijaeleweka?
Watu wengine wapo humu kukuharibia mada zako mkuuBado haujaeleweka mkuu
Hata kisukuma hajui vizuri labda aandike kwa kihutuHata akiandika kwa kiswahili inabidi muswada upelekwe Baraza la Kiswahili Tanzania ukahaririwe maana hata kiswahil fasaha hajui
Angeandika Kisukuma kisha akatafutwa wa kumtafsiria 👺
Acha dharau kijanaHata kisukuma hajui vizuri labda aandike kwa kihutu
Mimi ni Msukuma pure nimezaliwa na kukulia kijijini lugha ninayoitumia sana ni kisukumaAcha dharau kijana
Habari zenu JamiiForums.
Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza Kisukuma kule!, wakasema sijui Kiingereza, niliamua kuzungumza Kiswahili na kuki-promote kwasababu ni lugha iliyoachwa na Baba wa Taifa"
View attachment 1697021
Picha hapo juu ni Mh. Rais Dk. JP Magufuli akiwa na Waziri wa mashauri ya kigeni Prof. Kabudi wakikabidhi vitabu vya kiswahili kwa Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kusini Mh. Ramaphosa katika harakati ya kuhakikisha lugha hii tamu inakuwa na kuenea kwa haraka zaidi nje ya mipaka ya Tanzania na Afrika ya Mashariki.
Kitabu cha Kiingereza cha Mzee Mkapa: My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers
Mheshimiwa, hayati Benjamin William Mkapa ndiye aliyekuwa rais wa tatu wa Tanzania, aliyechaguliwa chini ya mfumo wa kwanza wa vyama vingi hapa nchini. Kitabu chake kinafafanua kumbukumbu zake kutokea utotoni, wakati bado akiwa rais, na kuendelea kwake kujihusisha (hata baada ya kustaafu) kwenye masuala ya kimataifa yahusuyo maendeleo na upatanishi wa amani.
Kitabu hiki kinavutia sana kwa wasomaji wanaopenda kujua kuhusiana na, kadhia aliyoipitia mwafrika katika kipindi cha ukoloni hususan eneo zima la Afrika Mashariki na mapambano ya uhuru na harakati za ukombozi wa nchi kadhaa za kusini mwa Afrika.
Mheshimiwa Mkapa ameandika pia kuhusu utoto wake, kukomaa kwake kisiasa, mabadiliko ya kimfumo/kiutawala na kisiasa nchini Tanzania, na vile vile machafuko ya kisiasa katika nchi jirani.
Kitabu hiki kimejaa maoni yake juu ya uongozi na ushauri kwa viongozi wanaochipukia kama dada yangu mama D. Baada ya Mwalimu Julius Nyerere, ni vitabu vichache sana vimeandikwa na viongozi wakuu wa Tanzania juu ya mageuzi ya nchi; kwa kweli bila kuwa mnafiki vitabu vingi vinavyosomwa hapa nchini vimeandikwa na wageni kuliko watanzania, kwa hivyo kitabu cha Mh. Mkapa ni mfano bora wa kuigwa.
I Can, I Must, I Will written by Dr. Reginald Mengi
=====
View attachment 1698020
OMBI LANGU: Itapendeza sana kama Rais Magufuli ataandika kitabu cha maisha yake kwa kutumia lugha ya wazalendo ya KISWAHILI.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Hata kama wewe ni msukuma usimdharau mkuu wa nchi yakoMimi ni Msukuma pure nimezaliwa na kukulia kijijini lugha ninayoitumia sana ni kisukuma
Nakwambia jiwe anaongea kisukuma kama watu wanaojifunza
Dharau ni jambo jingine na kutokujua kitu ni jambo jingineHata kama wewe ni msukuma usimdharau mkuu wa nchi yako
Rais wa nchi ni mjinga? Seriously?Dharau ni jambo jingine na kutokujua kitu ni jambo jingine
For the sake of arguments hata nimkimdharau kwa maujinga yeke nini Tatizo
Mpumbavu mjinga tena wa ajabu sana Ndio maana kaharibu hata diplomasia na nchi nyingiRais wa nchi ni mjinga? Seriously?
Tanzania tuna uhuru wa kumjadili raisi sana ingekua kule korea kaskazini Jinikashkash ungekua unanyea debe lako sasa hivi😆😆Hata akiandika kwa kiswahili inabidi muswada upelekwe Baraza la Kiswahili Tanzania ukahaririwe maana hata kiswahil fasaha hajui
Angeandika Kisukuma kisha akatafutwa wa kumtafsiria 👺
Vijana wa humu wana mambo ya ajabu wanatukana mpaka Rais waoTanzania tuna uhuru wa kumjadili raisi sana ingekua kule korea kaskazini Jinikashkash ungekua unanyea debe lako sasa hivi😆😆