Binti Abdullah
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 653
- 538
Zitto nae vp?Tundu Lissu ndio mchawi mkuu wa chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto nae vp?Tundu Lissu ndio mchawi mkuu wa chama
Zitto wa Kigoma yule ujue kijana?Zitto nae vp?
Niliwahi kusikia kuwa Zitto amezindikwa ziwa Tanganyika, sasa sijui ni kweli au ni sound tu za watoto wa mjini.Zitto wa Kigoma yule ujue kijana?
Wewe unamuonaje hata swagger zake tu?Niliwahi kusikia kuwa Zitto amezindikwa ziwa Tanganyika, sasa sijui ni kweli au ni sound tu za watoto wa mjini.
....Tuna Usomaji wa Vitabu wa kutuwezesja kununua Kitabu kilichoandikwa kwa Lugha ya Kiingereza kuhusu raising wetu kwa Shilingi 60,000/=??Habari zenu JamiiForums.
Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza Kisukuma kule!, wakasema sijui Kiingereza, niliamua kuzungumza Kiswahili na kuki-promote kwasababu ni lugha iliyoachwa na Baba wa Taifa"
View attachment 1697021
Picha hapo juu ni Mh. Rais Dk. JP Magufuli akiwa na Waziri wa mashauri ya kigeni Prof. Kabudi wakikabidhi vitabu vya kiswahili kwa Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kusini Mh. Ramaphosa katika harakati ya kuhakikisha lugha hii tamu inakuwa na kuenea kwa haraka zaidi nje ya mipaka ya Tanzania na Afrika ya Mashariki.
Kitabu cha Kiingereza cha Mzee Mkapa: My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers
Mheshimiwa, hayati Benjamin William Mkapa ndiye aliyekuwa rais wa tatu wa Tanzania, aliyechaguliwa chini ya mfumo wa kwanza wa vyama vingi hapa nchini. Kitabu chake kinafafanua kumbukumbu zake kutokea utotoni, wakati bado akiwa rais, na kuendelea kwake kujihusisha (hata baada ya kustaafu) kwenye masuala ya kimataifa yahusuyo maendeleo na upatanishi wa amani.
Kitabu hiki kinavutia sana kwa wasomaji wanaopenda kujua kuhusiana na, kadhia aliyoipitia mwafrika katika kipindi cha ukoloni hususan eneo zima la Afrika Mashariki na mapambano ya uhuru na harakati za ukombozi wa nchi kadhaa za kusini mwa Afrika.
Mheshimiwa Mkapa ameandika pia kuhusu utoto wake, kukomaa kwake kisiasa, mabadiliko ya kimfumo/kiutawala na kisiasa nchini Tanzania, na vile vile machafuko ya kisiasa katika nchi jirani.
Kitabu hiki kimejaa maoni yake juu ya uongozi na ushauri kwa viongozi wanaochipukia kama dada yangu mama D. Baada ya Mwalimu Julius Nyerere, ni vitabu vichache sana vimeandikwa na viongozi wakuu wa Tanzania juu ya mageuzi ya nchi; kwa kweli bila kuwa mnafiki vitabu vingi vinavyosomwa hapa nchini vimeandikwa na wageni kuliko watanzania, kwa hivyo kitabu cha Mh. Mkapa ni mfano bora wa kuigwa.
I Can, I Must, I Will written by Dr. Reginald Mengi
=====
View attachment 1698020
OMBI LANGU: Itapendeza sana kama Rais Magufuli ataandika kitabu cha maisha yake kwa kutumia lugha ya wazalendo ya KISWAHILI.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mtu gani apigwe risasi?Sasa unafikiri ataandika kwa Kiingereza cha kutoka wapi, hiki cha Chato kibovu hiki? Angetamani sana lkn hawezi, labda aige mtu risasi ndo anaweza kujaribujaribu
Soja, hapo BAVICHA ni vichaa kama jina laoMtu gani apigwe risasi?
Usiposoma wewe watasoma watanzania wengine na nchi za Afrika zinazojali Kiswahili....Tuna Usomaji wa Vitabu wa kutuwezesja kununua Kitabu kilichoandikwa kwa Lugha ya Kiingereza kuhusu raising wetu kwa Shilingi 60,000/=??
Tanzania Yetu hii hii??[emoji848][emoji848]
Wee jamaa alafu punguza dharau kwa mkuu wako wa nchi.....Tuna Usomaji wa Vitabu wa kutuwezesja kununua Kitabu kilichoandikwa kwa Lugha ya Kiingereza kuhusu raising wetu kwa Shilingi 60,000/=??
Tanzania Yetu hii hii??[emoji848][emoji848]
Swagger za ZKK za kishamba tuWewe unamuonaje hata swagger zake tu?
Zitto sidhani kama ni mwanasiasa bora yule jamaaNiliwahi kusikia kuwa Zitto amezindikwa ziwa Tanganyika, sasa sijui ni kweli au ni sound tu za watoto wa mjini.
Yule ni mganga njaa tu kama Lissu na MnyikaZitto sidhani kama ni mwanasiasa bora yule jamaa
Mkuu, alafu inasemekana Zitto alikuwa ana uhusiano na binti wa mzee Bulembo?Swagger za ZKK za kishamba tu
Binti gani?Mkuu, alafu inasemekana Zitto alikuwa ana uhusiano na binti wa mzee Bulembo?
Habari zenu JamiiForums.
Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza Kisukuma kule!, wakasema sijui Kiingereza, niliamua kuzungumza Kiswahili na kuki-promote kwasababu ni lugha iliyoachwa na Baba wa Taifa"
View attachment 1697021
Picha hapo juu ni Mh. Rais Dk. JP Magufuli akiwa na Waziri wa mashauri ya kigeni Prof. Kabudi wakikabidhi vitabu vya kiswahili kwa Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kusini Mh. Ramaphosa katika harakati ya kuhakikisha lugha hii tamu inakuwa na kuenea kwa haraka zaidi nje ya mipaka ya Tanzania na Afrika ya Mashariki.
Kitabu cha Kiingereza cha Mzee Mkapa: My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers
Mheshimiwa, hayati Benjamin William Mkapa ndiye aliyekuwa rais wa tatu wa Tanzania, aliyechaguliwa chini ya mfumo wa kwanza wa vyama vingi hapa nchini. Kitabu chake kinafafanua kumbukumbu zake kutokea utotoni, wakati bado akiwa rais, na kuendelea kwake kujihusisha (hata baada ya kustaafu) kwenye masuala ya kimataifa yahusuyo maendeleo na upatanishi wa amani.
Kitabu hiki kinavutia sana kwa wasomaji wanaopenda kujua kuhusiana na, kadhia aliyoipitia mwafrika katika kipindi cha ukoloni hususan eneo zima la Afrika Mashariki na mapambano ya uhuru na harakati za ukombozi wa nchi kadhaa za kusini mwa Afrika.
Mheshimiwa Mkapa ameandika pia kuhusu utoto wake, kukomaa kwake kisiasa, mabadiliko ya kimfumo/kiutawala na kisiasa nchini Tanzania, na vile vile machafuko ya kisiasa katika nchi jirani.
Kitabu hiki kimejaa maoni yake juu ya uongozi na ushauri kwa viongozi wanaochipukia kama dada yangu mama D. Baada ya Mwalimu Julius Nyerere, ni vitabu vichache sana vimeandikwa na viongozi wakuu wa Tanzania juu ya mageuzi ya nchi; kwa kweli bila kuwa mnafiki vitabu vingi vinavyosomwa hapa nchini vimeandikwa na wageni kuliko watanzania, kwa hivyo kitabu cha Mh. Mkapa ni mfano bora wa kuigwa.
I Can, I Must, I Will written by Dr. Reginald Mengi
=====
View attachment 1698020
OMBI LANGU: Itapendeza sana kama Rais Magufuli ataandika kitabu cha maisha yake kwa kutumia lugha ya wazalendo ya KISWAHILI.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA N
Ataandika juu ya nini?Habari zenu JamiiForums.

Unataka aandike juu ya nini?Ataandika juu ya nini?
Huyo mshamba hana nia njema na Rais wetu kipenziUnataka aandike juu ya nini?
Tanzania yetu pendwaAtaandika juu ya nini?
Atakuwa jela anatumikia kifungo Cha kudumuHabari zenu JamiiForums.