PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

....Tuna Usomaji wa Vitabu wa kutuwezesja kununua Kitabu kilichoandikwa kwa Lugha ya Kiingereza kuhusu raising wetu kwa Shilingi 60,000/=??
Tanzania Yetu hii hii??[emoji848][emoji848]
 
....Tuna Usomaji wa Vitabu wa kutuwezesja kununua Kitabu kilichoandikwa kwa Lugha ya Kiingereza kuhusu raising wetu kwa Shilingi 60,000/=??
Tanzania Yetu hii hii??[emoji848][emoji848]
Usiposoma wewe watasoma watanzania wengine na nchi za Afrika zinazojali Kiswahili
 
Ataandika juu ya nini?
 
Atakuwa jela anatumikia kifungo Cha kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…