Nyamambara
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 407
- 330
Kama hausomi huyo ni wewe kijana Malawi watu wanasoma sana Kiswahili....Tuna Usomaji wa Vitabu wa kutuwezesja kununua Kitabu kilichoandikwa kwa Lugha ya Kiingereza kuhusu raising wetu kwa Shilingi 60,000/=??
Tanzania Yetu hii hii??[emoji848][emoji848]
Ana swagger za kishamba saaaana huyoWewe unamuonaje hata swagger zake tu?
Yesu ndiye jibu kuzindikwa ushirikina tu mkuuNiliwahi kusikia kuwa Zitto amezindikwa ziwa Tanganyika, sasa sijui ni kweli au ni sound tu za watoto wa mjini.
Zitto sio mtanzania yule ndio maana anaiponda sana serikali ya CCMZitto wa Kigoma yule ujue kijana?
Mshamba tu huyu mkongoZitto nae vp?
ACT na Zitto hawana chao pemba ujue?Mshamba tu huyu mkongo
CCM ndio kila kitu hapa Tanzania, sasa kwanini anawaponda hivyo?Zitto sio mtanzania yule ndio maana anaiponda sana serikali ya CCM
Acha kuabudu wazungu mkuuAandike kingereza?Kingereza unakichukulia POA Sana!
Amen mtumishi wa bwanaYesu ndiye jibu kuzindikwa ushirikina tu mkuu
ACT nayo ina ufisadi sanaaa tuAna swagger za kishamba saaaana huyo
Ngoja nitafiti kwanza kisha nitakwambiaHivi nyerere baba wa taifa aliandika kitabu kinachohusu maisha yake!
Sio Malawi tu mkuu, mwambie mpaka ZambiaKama hausomi huyo ni wewe kijana Malawi watu wanasoma sana Kiswahili
ushauri mzuri umempaVichaa hao achana nao mkuu
Mnyika anawala sana madem wa BAWACHAHao vijana wa ufipa akili zao zote zipo kwa mnyika
Hao wote ni ndugu zetuKongo, Rwanda na Burundi pia wanajua vema kiswahili mkuu