Presion air wameshaita watu au kwa ajili ya interview

Presion air wameshaita watu au kwa ajili ya interview

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
518
Reaction score
451
jamani naomba mnijuze presion air walitoa nafasi za Accountant vipi walishaita watu au bado?

wenu katika kutafuta kazi
 
we mbona tulikupigia simu sana ukawa umezima.unaona sasa
 
jamani naomba mnijuze presion air walitoa nafasi za Accountant vipi walishaita watu au bado?

wenu katika kutafuta kazi

Wewe hata jina la kampuni hulijui halafu unategemea wakupe kazi? nIlifikiri title ya thread ni typo, lakini umerudia kosa ndani tena. Just forget about this job mkuu!!!!!!!!!!!!
 
jamani naomba mnijuze presion air walitoa nafasi za Accountant vipi walishaita watu au bado?

wenu katika kutafuta kazi

presion air???
Kweli wewe ulikuwa applicant, mbona unashindwa kutaja jina la kampuni unayo omba kazi?
Haya bwana, usije kusema bujibuji nimekuroga ukose kazi.
 
Kama hamna majibu mnyamaze na nyie. Mbona mimi nimeelewa anaulizia shirika la kina mramba
 
ungebadilisha heading mkuu uiweke in a question form n nat statement form.
 
kulikuwa na interview za post za accountants week 3 zimepita sasa. walishaita ndugu

QUOTE=mwana mnyonge;2875806]jamani naomba mnijuze presion air walitoa nafasi za Accountant vipi walishaita watu au bado?

wenu katika kutafuta kazi[/QUOTE]
 
watu badala ya kujibu swali, wanakosoa vitu ambavyo hata si vya msingi.
 
Back
Top Bottom