Press conference h.e.s.l.b

mkisyeli

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
260
Reaction score
76
habari wana jf..... leo bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeitisha mkutano na waandishi wa habari kwa taarifa zaidi usikose kufuatilia habari ya saa mbili usiku:source mdimu's blog
Nawasilisha
 
no kaka sio ligi ila siku hizi watu wanakera maana wanakurupuka tu kuandika wanavyojisikia kuandika
 
Kwa habari nilizozipata hivi punde
ni kuwa bodi inakabiliwa na uhaba wa fedha hii ikisababishwa na kupanda kwa Ada za baadhi ya vyuo vikuu
SOURCE >RFA
 
iyo blog uliyotuambia haina info yoyote zaidi ya siasa tu.
 
Kwa habari nilizozipata hivi punde
ni kuwa bodi inakabiliwa na uhaba wa fedha hii ikisababishwa na kupanda kwa Ada za baadhi ya vyuo vikuu
SOURCE >RFA
Mkuu tukiona hilo jina wengine tunaogopa sana!!! Usije kutulipua na humu Mkuu!!! Mimi niliona kwenye ule mkanda unaopita pale chini kwenye taarifa za TB-CCM wanasema bodi imeanza kutoa mikopo kwa wanachuo wa mwaka wa kwanza kama wanachuo 31,000 na ushee wameshapatiwa mikopo, sasa mimi nikachanganyikiwa mbona hizi taarifa hatujazipata kama kuna wenzetu tayari wameshapatiwa mikopo? Na kwa vile nina mzio na TB-CCM sikukaa kusubiria hiyo taarifa si mnajua tena hii TV ilishatutoka!!!!!!!!

Hapa naomba nieleweke kuwa nilikuwa kwenye harakati za ku-search TV bora ndo nikakumbana na hii habari ya TB-CCM, nilikuwa napita tu wakuu!!!!!!!!!
 

duu! hiyo tv iko nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…