mkuu tukiona hilo jina wengine tunaogopa sana!!! Usije kutulipua na humu mkuu!!! Mimi niliona kwenye ule mkanda unaopita pale chini kwenye taarifa za tb-ccm wanasema bodi imeanza kutoa mikopo kwa wanachuo wa mwaka wa kwanza kama wanachuo 31,000 na ushee wameshapatiwa mikopo, sasa mimi nikachanganyikiwa mbona hizi taarifa hatujazipata kama kuna wenzetu tayari wameshapatiwa mikopo? Na kwa vile nina mzio na tb-ccm sikukaa kusubiria hiyo taarifa si mnajua tena hii tv ilishatutoka!!!!!!!!
Hapa naomba nieleweke kuwa nilikuwa kwenye harakati za ku-search tv bora ndo nikakumbana na hii habari ya tb-ccm, nilikuwa napita tu wakuu!!!!!!!!!