Tetesi: Press Conference ya Chadema haitakuwa "LIVE"

Hata wakizuia, wacha wazuie tu. Ila muda na nyakati zinasonga mbele kwa kasi ya Ajabu sana. Mabadiliko ni lazima hata kama niko kifungoni tu muda ukifika umefika hakuna kikalagosi atakaye furukuta. Tena wamechelewa wakafunge na afisi ya vyema vya Upinzani ili wapumue. CCM ukitaja UKAWA, CHADEMA ukitaka kuwavuruga zaidi mtaje Lowassa yaani wanatamani waingie uvunguni. Waacheni wabweke tu we gonna see.
 
Wameshindwa kulipia, wamekuja huku kuzusha kuna figisu figisu.

Mods unganisheni na ule uzi unaoijibu hii Product Mpya kutoka katika kiwanda cha uongo. UZUSHI HUU
 
Wafunge ofisi za vyama vya upinzani? Mfano Chadema wafungiwe ofisi ipi? Baba mwenye nyumba anatosha kuwamaliza nyie.
 
CHADEMA 'live' huwa ni mtikisiko na kishindo kikuu upande wa pili yaani huwa hawalali.
 
Wameshindwa kulipia, wamekuja huku kuzusha kuna figisu figisu.

Mods unganisheni na ule uzi unaoijibu hii Product Mpya kutoka katika kiwanda cha uongo. UZUSHI HUU
Habari za uhakika, pesa zilikuwa zitoke kwa ma-mvi, familia imegoma zisitoke.
 
Wewe hata ukatibu kata hupati, na hicho kitengo chenu cha umbea na uzushi kitafyekwa siku si nyingi.
 
Wanaogopa kuzingirwa.
 
Habari za uhakika, pesa zilikuwa zitoke kwa ma-mvi, familia imegoma zisitoke.
Wanawafanya Watanzania wajinga hawa, alafu baadhi ya watu wanakurupuka na kuamini uzushi kama huu. Hawakukosea waliowaita Nyumbu kwakweli.
 
Wameshindwa kulipia, wamekuja huku kuzusha kuna figisu figisu.

Mods unganisheni na ule uzi unaoijibu hii Product Mpya kutoka katika kiwanda cha uongo. UZUSHI HUU
Kiwanda cha uongo ni kipi?
 
Kwani maazimio gani mnataka kutwambia wananchi....watanzania tupo makazin nyinyi mnatusumbua na maazimio bora mpigwe ban tuu tena hata kweny magazet nisisikie
 
Kwani maazimio gani mnataka kutwambia wananchi....watanzania tupo makazin nyinyi mnatusumbua na maazimio bora mpigwe ban tuu tena hata kweny magazet nisisikie
Wakiitwa Watanzania na wewe utakwenda? Labda wana Nzi wa Kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…