Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Hivi wewe jamaa zaidi ya kujua kusoma, kuhesabu na kuandika kuna cha zaidi unachokijua?Kwanini atolewe yeye tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe jamaa zaidi ya kujua kusoma, kuhesabu na kuandika kuna cha zaidi unachokijua?Kwanini atolewe yeye tu?
Dunia nzima izizime..?
Uko Sirius unafikiri dunia haina mambo ya kufanya hadi izizime kumsikiliza Huyo kiumbe.?
Sanaa.. hata kama kuna 'so called uhuru wa kuongea' hii ni too much.. kwanza kipindi hiki hatarishi. Utashangaa polisi wanamuangalia tu..Daaah like really!!
Hayati Mwl. JK Nyerere alikuwa sahihi kabisa kujumuisha "Ujinga" miongoni mwa maadui wakuu wa Taifa letu!
Hivi wewe jamaa zaidi ya kujua kusoma, kuhesabu na kuandika kuna cha zaidi unachokijua?
Kwa hiyo Admin akikataa kukuunga group la whatsapp unaetisha press? Basi ma-admin wanayo kazi!!Wanachama na wapenzi wa ccm duniani kote na wandishi wa habari macho na masikio leo yapo dodoma ambapo katika hotel ya st gasper bwana selasini atakuwa na mkutano KUELEZEA JINSI CHADEMA WALIVYOKATAA KUMUUNGA GROUP LA WHATSAPP
Mkutano huo ni wa muhimu sana haswa UKICHUKULIA INTELEJENSIA YA POLISI ishagundua kwamba hakutakuwa na maambukizi ya corona tofauti na ule wa last week wa bwana mbowe ambapo jeshi hilo mahiri kabisa linalofanya kazi kwa weledi bila upendeleo lilibidi livunje press conference yake ili kumuokoa na corona
Ikumbukwe ya kwamba Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazofanya vizuri kudhibiti corona na inasemekana ni ywa kwanza duniani kwani kuna vifo 10 tu huku Rais Jpm akipongezwa duniani kote kwa kutowek alockdown na kuhimiza vapour steaming ili KULIUA FUTA LA CORONA ndani ya degree 100,hata wansayansi wakubwa duniani wote wamempigia saluti kwa ubunifu wake huo
kwa leo hatutaki story za corona wala PPE wala sijui uchumi umefanya ninimwaalimu shule binafsi na malalamiko memngine yasiyo na maana,MACHO NA MASIKIO DODOMA TUJUE HILO GROUP LA WHATSAPP KUNANI?NANI ADMIN?
Hata kama selasini alishatangaza ataondoka chadema mwezi june kujiunga na mwanabadiliko ,nguli liitwalo Mbatia zee laa mama Tanzania haimaanishi asiunge whatsapp
Imewasikitisha sana watanzania,mimi mwenyewe nimekesha usiku mzima nalia machozi ya kutosha kw akitendo hicho
Sanaa.. hata kama kuna 'so called uhuru wa kuongea' hii ni too much.. kwanza kipindi hiki hatarishi. Utashangaa polisi wanamuangalia tu..
Kama alikua anataka kutuelezea kuhusu kutolewa whatsapp angetoa press release au angejirekodi yeye mwenyewe akapost youtube.
Hata mimi simfahamunzagambadume, ]Dunia yazizima? Nigga pls.
Kuna nchi kibao hazimjui selasini ni nani.
So ni siasa za hapa bongo tu.
Zinawika humu na kuishia humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndio aitishe press kisa kutolewa kwenye group la whatsapp..[emoji23]
Tena kipindi hiki cha corona?
Mkutano gani wakati mikusanyiko hairuhusiwi mkuu?Wanachama na wapenzi wa CCM duniani kote na wandishi wa habari macho na masikio leo yapo Dodoma ambapo katika hotel ya St. Gasper bwana Selasini atakuwa na mkutano KUELEZEA JINSI CHADEMA WALIVYOKATAA KUMUUNGA GROUP LA WHATSAPP.
Mkutano huo ni wa muhimu sana haswa UKICHUKULIA INTELEJENSIA YA POLISI ishagundua kwamba hakutakuwa na maambukizi ya corona tofauti na ule wa last week wa Bw. Mbowe ambapo jeshi hilo mahiri kabisa linalofanya kazi kwa weledi bila upendeleo lilibidi livunje press conference yake ili kumuokoa na corona.
Ikumbukwe ya kwamba Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazofanya vizuri kudhibiti corona na inasemekana ni ya kwanza duniani kwani kuna vifo 10 tu huku Rais JPM akipongezwa duniani kote kwa kutoweka lockdown na kuhimiza vapour steaming ili KULIUA FUTA LA CORONA ndani ya degree 100, hata wansayansi wakubwa duniani wote wamempigia saluti kwa ubunifu wake huo.
Kwa leo hatutaki story za corona wala PPE wala sijui uchumi umefanya ninimwaalimu shule binafsi na malalamiko memngine yasiyo na maana,MACHO NA MASIKIO DODOMA TUJUE HILO GROUP LA WHATSAPP KUNANI? NANI ADMIN?
Hata kama Selasini alishatangaza ataondoka Chadema mwezi June kujiunga na mwanabadiliko, nguli liitwalo Mbatia zee laa mama Tanzania haimaanishi asiunge WhatsApp.
Imewasikitisha sana Watanzania, mimi mwenyewe nimekesha usiku mzima nalia machozi ya kutosha kwa kitendo hicho.
Dunia au uvccm, mkutano wa nini tena anapingana na serekali mikutano imepigwa marufuku au amepenyezewa kibaliWanachama na wapenzi wa CCM duniani kote na wandishi wa habari macho na masikio leo yapo Dodoma ambapo katika hotel ya St. Gasper bwana Selasini atakuwa na mkutano KUELEZEA JINSI CHADEMA WALIVYOKATAA KUMUUNGA GROUP LA WHATSAPP.
Mkutano huo ni wa muhimu sana haswa UKICHUKULIA INTELEJENSIA YA POLISI ishagundua kwamba hakutakuwa na maambukizi ya corona tofauti na ule wa last week wa Bw. Mbowe ambapo jeshi hilo mahiri kabisa linalofanya kazi kwa weledi bila upendeleo lilibidi livunje press conference yake ili kumuokoa na corona.
Ikumbukwe ya kwamba Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazofanya vizuri kudhibiti corona na inasemekana ni ya kwanza duniani kwani kuna vifo 10 tu huku Rais JPM akipongezwa duniani kote kwa kutoweka lockdown na kuhimiza vapour steaming ili KULIUA FUTA LA CORONA ndani ya degree 100, hata wansayansi wakubwa duniani wote wamempigia saluti kwa ubunifu wake huo.
Kwa leo hatutaki story za corona wala PPE wala sijui uchumi umefanya ninimwaalimu shule binafsi na malalamiko memngine yasiyo na maana,MACHO NA MASIKIO DODOMA TUJUE HILO GROUP LA WHATSAPP KUNANI? NANI ADMIN?
Hata kama Selasini alishatangaza ataondoka Chadema mwezi June kujiunga na mwanabadiliko, nguli liitwalo Mbatia zee laa mama Tanzania haimaanishi asiunge WhatsApp.
Imewasikitisha sana Watanzania, mimi mwenyewe nimekesha usiku mzima nalia machozi ya kutosha kwa kitendo hicho.
Ni kweli aondoke, lkn pia ifike mahali, Lazima ifahamike kwenye makusanyiko ya watu wengi, ni vigumu Ku control mawazo ya kila mmoja Kwa kutumia nguvu na kulazimisha watu waseme ndio hata kama si mahali pa kuitikia ndiyoAondoke tu!!
Wanachama na wapenzi wa CCM duniani kote na wandishi wa habari macho na masikio leo yapo Dodoma ambapo katika hotel ya St. Gasper bwana Selasini atakuwa na mkutano KUELEZEA JINSI CHADEMA WALIVYOKATAA KUMUUNGA GROUP LA WHATSAPP.