Press conference ya Mbunge Selasini leo: Intelejesia haina wasiwasi na mkusanyiko

Dunia nzima izizime..?
Uko Sirius unafikiri dunia haina mambo ya kufanya hadi izizime kumsikiliza Huyo kiumbe.?

Kwa nini isizizime wakati kuna mtu anatangaza kuunga mkono juhudi za Rais bora kabisa duniani Dr John Joseph Pombe Magufuli?
 
Daaah like really!!
Hayati Mwl. JK Nyerere alikuwa sahihi kabisa kujumuisha "Ujinga" miongoni mwa maadui wakuu wa Taifa letu!
Sanaa.. hata kama kuna 'so called uhuru wa kuongea' hii ni too much.. kwanza kipindi hiki hatarishi. Utashangaa polisi wanamuangalia tu..
Kama alikua anataka kutuelezea kuhusu kutolewa whatsapp angetoa press release au angejirekodi yeye mwenyewe akapost youtube.
 
Kwa hiyo Admin akikataa kukuunga group la whatsapp unaetisha press? Basi ma-admin wanayo kazi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aiseee!!
Hizi siasa za kipuuzi zinathibitisha kuwa tunashindwa kutumia vichwa vyetu kikamilifu!
 
Mkutano gani wakati mikusanyiko hairuhusiwi mkuu?
 
Dunia au uvccm, mkutano wa nini tena anapingana na serekali mikutano imepigwa marufuku au amepenyezewa kibali
 
Retired Chief Justice AUGUSTINO RAMADHANI of TANZANIA has passed on at AGA KHAN Hospital Dar es Salaam a few minutes ago. I will keep you updated.

Ibrahim H. JUMA
Chief Justice TANZANIA
 
Aondoke tu!!
Ni kweli aondoke, lkn pia ifike mahali, Lazima ifahamike kwenye makusanyiko ya watu wengi, ni vigumu Ku control mawazo ya kila mmoja Kwa kutumia nguvu na kulazimisha watu waseme ndio hata kama si mahali pa kuitikia ndiyo

Vyama vyetu virudishe utaratibu wa mazungumzo, kukaa mezani kutatua mikinzani ya mawazo na tofauti zao, si vizuri kila mwenye kuona dosari mahali badara ya kumsikiliza mnasema Tu aondoke, katika kuondoka Kwa mwanachama mmoja, hataondoka peke yake, naye anawatu nyuma yake,

Sina Chama, Ila Vyama vya Upinzani vikikosa nguvu, CCM watalala zaidi, Upinzani ulindwe Kwa Hali na Mali, napinga kauli ya kusema aondoke tu
 
ndo maana hawa wazungu wa hapa Amsterdam wako busy na tiviii
 
Hio dunia labda ni ya makalio yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…